Acha ujinga uende mbingun, kaulize mwigulu baada ya kuzungumzia ufisad Wa kutisha Wa srkl ya ccm, kupanda kwa deni la taifa kwa kpnd chote cha awamu hii, kupanda kwa GDP lkn umaskin ukiongezaka, kukosekana kwa pembejeo kwa wakulima kwa wkt, mgao Wa umeme kila mwaka, elimu isiyo name dira wala mwelekeo, zungumzia hayo watu wakuone una akil....!!!! magaid ni wale waliotumwa na srkl chakavu ya ccm kweny operation ya ujangliAcha kuweweseka wewe. Chadema ni magaidi, wauwaji
unategemea nini kutoka kwa gazeti linalomilikiwa na rostam....hili gazeti limepoteza dira now dayz ni kama gazeti la udaku linaandika story za kusadikika na lengo lake ni kumbeba lowasa raia tushalistukia mapema
Unaongea pumba tu unafikir chadema ni kama maccm? Mnaiba sn au hamlion hilo? Chadema imefanya maamuz magumu km mnaweza na ninyi fanyen hvv, mafisad wakubwa nyie hamna hata haya, mnashindwa akili hata na Mmbwa mwitu, akila nyama anaenda kujiburuza chin ili wenzake wasimshtukie, ccm inakula kweupe hamna hata aibu, mnaiba kweupe tembo zt na twiga!! Mtaongea sn kuhusu chadema kila cku kitakuwa juu.
Horse manure! Mabere Nyaucho Marando hawezi kuongea, acha kufikiria, upuuzi kama huu...any right thinking individual with common sense ought to know this by now. Trouble is, common aint that common!gazeti la Mtanzania said:Marando amesikika ndani ya Kamati Kuu ya chama hicho akisema kuwa, anaona mwelekeo ule ule wa NCCR-Mageuzi kuipata Chadema.
![]()
WANATAKA KUTONGANA MANGUMI HAPA
Mkuu,
Kuifananisha CDM na CCM ni sawa na kuifananisha NURU na GIZA!Yaaani hawa tuliowapa nchi na wakaishia kuiba,kubaka,kuuza tembo,kupiga dili,kuuza "sembe",kuuza bange uwafananishe na CHADEMA?
You must be out of your mind!!!
Kipi cha uongo kilichoandikwa hapo? Jenga hoja acha kumshambulia mtu, kwani we unataka tuwe tunasoma gazeti la mbowe tu?
Sio nonesence ni nonesense bwana mzee. Jifunze kuandika lugha uliyoizoea
Lakini siyo mawazo ama mtazamo wa gazeti bali limewahoji wasomi na watu mbalimbali