Mapadri,Maaskofu na Mashehe wanasema Chama kinakufa, bado mnabisha
Wasomi, Maprofesa Wanasema Chama kinakufa, Bado mnabisha.
Wassira alikwisha waambia mkabeza, mkakebehi sasa kiko wapi?
Ahsante Wassira ulimaliza kazi yako ya kuwaeleza na ukweli tumeuona.
unawasema wanaopitiwa na lowasa kila siku anaowahongaga pesa?