Mtanzania auawa Kenya kwa kunyongwa!

Mtanzania auawa Kenya kwa kunyongwa!

kiparah

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2010
Posts
1,173
Reaction score
117
Ni mtoto wa sliyekuwa Mhariri Mtengaji wa Kampuni ya magazeti ya serikali TSN (Daily News, Habarileo na Spotileo), Isaac Mruma, mtoto wake wa kiume ameuawa kwa kunyongwa nchini Kenya na watu wasiojulikana. Kwa sasa Mruma ni Ofisa Mawasiliano Mwandamizi wa Mamlaka ya mawasiliano ya uthibiti wa mawasiliano Tanzania (TCRA).

Habari ya awali:

Help us find JERRY ISAAC MRUMA.
5566091_orig.jpg



Jerry Isaac Mruma, 23.



Jerry Isaac Mruma is a Tanzanian USIU-Africa Student (in Kenya) who went missing on Saturday night. (You may click here to watch him in this video)

Jerry had left the Tanzania Night at Pan Afrique Hotel and spoke to his friend Ogwellah at around 11:40PM

Another friend tells that Jerry had called her to inform her that he was on his way home. Unfortunately, he never got there. She has not heard nor seen Jerry since Saturday and calls to his phone aren't going through. She has filed a report with the Police for missing persons.

If you see or hear from Jerry anywhere please let us know.

Kindly call 0710 691 252 or click here to report to USIU Students Affairs Office.


Na Taarifa za leo zinasema kwamba amekutwa amenyongwa.


So sad, Mungu aipe uvumilivu familia ya Mruma wakati huu wa kipindi kigumu. RIP Jerry.
 
Nini tena!!! Au ndo yale yale ya maugomvi ya mapenzi? Rest in Peace Jerry Mruma!!
 
Yesu wangu..jana nimepigiwa simu na mdogo wangu anasoma hapo,...akawa analia kusema hasemi..dahhh RIP dude..
 
Oooh no......RIP handsome......
 
Not only handsome...kijana alikuwa ni kichwa. So bright!. Taifa limempoteza yet again mtu muhimu sana. I have just watched his video this morning in a link via Michuzi...no! am speechless.. I known their Parents...they are all good people.<br><br>Kwemwale.
 
kama ni habari za kweli AUUUWIiIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIWIWI WI WI!:crying:Habari ya kutafutwa kwake nimeisoma leo asubuhi Michuzi Blog nikaplay video aliyokuwa anahojiwa GBS tv juu ya Kilimo Yetu. Jamani mbona kifo hakina huruma. Kijana Mbichi kama huyu anauwawa kwa kunyongwa na watu wasiojulikana hakika imenitia simanzi. Poleni sana Wafiwa na wote walioguswa na msiba huuu. Muumba alitoa leo ametwaa. RIP Jerry. Vifo vya watoto na Vijana huniumiza sana ROHO yangu.
 
chuo cha USIU ni majanga .kiko pale jirani na uwanja wa kasarani na hotel safaripark.ni chuo kilicho gubikwa na scandal za ajabu sana zinazo wakumba wanafunzi.wazazi watz pamoja ba pesa zenu msipeleke vijana wenu kusoma pale.
 
pole sana kwa familia, may his soul rest in eternal peace, amin
 
R.i.p jerry tutakukumbuka sana rafiki yetu ...mungu baba tusaidie,,so so so sad news...
 
Nimesikia kuna mtanzania mwingine alifariki kwa ajali jumamosi huko huko USIU-Kenya after hiyo Tanzania night, Leo Jerry tena. Alale pema
 
chuo cha USIU ni majanga .kiko pale jirani na uwanja wa kasarani na hotel safaripark.ni chuo kilicho gubikwa na scandal za ajabu sana zinazo wakumba wanafunzi.wazazi watz pamoja ba pesa zenu msipeleke vijana wenu kusoma pale.

Halafu kuna wa Tanzania kibao hapo, sijui kina ubora gani hiki chuo.
 
Rest in peace

jamani inasikitisha polen ifamilia yake.
 
Back
Top Bottom