Habari Baada ya kimya cha muda mrefu leo nimeona si vibaya kuja na uzi unaoeleza kuhusu shughuli ninazo zifanya huku ughaibuni. Nimekuwa muajiriwa wa NASA kwa zaidi ya mwaka na nusu sasa katika kitengo cha earth to mars lauching systems. Katika kitengo hichi kuna mainjinia takribani ishirini...