Mtanzania atengeneza satelaiti

Safi sana,habari njema hii

Ila sijuwi kama watanzania watamuelewa na kumpa airtime
Watanzania wee waambie wakuna doto magari,mwijaku,baba level,konde,monde,zchu,mandonga hao ndy role model zao

Ova
Ongeza hapo na wapuuzi wengine kika Lisu,Heche ,Lema and the likes
 
Wanairushaje, hebu tuelimishe
Rocket science sio mchezo. Sio vyepesi hata kidogo.
NASA huwa wakifanikisha project ya kurusha uakuta kwenye kile chumba cha mawasiliano watu wanapiga kelele kama wehu, hii inaonyesha si kitu chepesi.
 
Wanairushaje, hebu tuelimishe
Nilielezeaga humu

 
Soma kwa undani story yake,alienda Hadi NASA
 
Fuatilia Azam news wametoka taarifa ya kina kumhusu,wameenda Hadi Kwao marangu kuhoji wazazi,wametoka história yake Ktk masuala hayo,Jamaa alisomea Finland,alienda Hadi NASA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…