kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,463
Wewe unafaa kuwa mwandishi wa habari.
Unaweza sana vichwa vya habari
umetisha mkuu
Wewe unafaa kuwa mwandishi wa habari.
Unaweza sana vichwa vya habari
Mkuu yaonekana una uzoefu sn ktk magazeti yale ya alasiti na dar leo!!?
Nimekuja mbio kweli, yaani nimeishiwa pozi baada yakuliona gari la kifahari!
du! hii kal
saf sana kibongobongo inatosha du ila kwa kichwa habar ha!ha!ha! ww mchawi kabxa du
Teh teh teh! Karibuni sana! Stress tupa kule!Hahahah gari la ukweli.
View attachment 248139
Halitumii mafuta wala maji hata gesi!
Hata yasiyo ya udaku huyu anayaweza..lakini mwandishi wa habari za udaku!