Chukua muda aliotumia kuitengeneza, chukua muonekano ulivyotoka, hii inadhihilisha huyo au hao watoto waliotengeneza hiyo gari wanakitu kichani mwao, yawezekana baada ya hapo walianza au alianza kujiuliza nifanyajd ili ijiendeshe yenyewe? Alihitaji kutiwa moyo tu na kuongezewa baadhi ya maarifa yaliyo juu ya upeo wake kitu ambacho kingetimiza ndoto zake na taratibu kwa mfumo kama huu basi tungekuwa na sisi nchi ya viwanda