George786
Member
- Feb 8, 2019
- 53
- 95
400 Billion Dollars, hell lot of money.
Dollar m175 na some points,bilion 400 in shillings ,pesa ndefu sana kwa vyovyote utavoiitamka
400 Billion Dollars, hell lot of money.
Ha! Ha! Ha!
Umenikumbusha wale jamaa wa security group waliokimbia na hela wakaishia kununua viwanja kisemvule na magari used
Mwisho wa siku wakakamatwa km kuku


Tusichanganye madesa, hapa uelewa wangu uko hivi:
Huyu jamaa alikuwa anatumia alias name, hilo Remtullah linaweza lisiwe jina lake lakini ndio lililosajiriwa benki zote na account za nje. Hapo Agha Khan wanadai hawajui hilo jina wala cheo chake ila ndio alikuwa anafanya transactions.
Benki ilimhoji kwa kutilia shaka mihamala mikubwa anayofanya mara kadhaa, ni sehemu ya taratibu za kibenki. Benki haikuwa na mamlaka ya kumkamata wala kumshikiria kwenye mahojiano kwa vile hakuwa wanted na sio kazi ya benki kukamata mtu yeyote anayetoa hela nyingi. Hakuwa anatafutwa wala Agha Khan haikureport upotevu wa fedha sasa mnaanzaje kulaumu benki.
Alikwenda na hakurudi kwa kujishtukia kisha ndio taarifa za kupotea fedha zimetolewa. Kwanza sijaona wapi Agha Khan wameclaim kuibiwa hela. It seems wenyewe hawajui au hawahitaji kuhusika na hizo fedha. Anayesema Agha Khan wameibiwa ni FBI na mabenki, AK wakiulizwa wanasema mabosi wako likizo ya corona, mwanasheria wao anasifia taasisi. They are cool, they don't give a fvk
Ndio nature ya wezi wa kibongo![]()
,mwingine alikamtwa kalala sebleni kifua wazi hahaah wabongo akili zetu dAhwakikutia huo mpunga unachagua pini yoyote unayotaka tena level za kina mwavita makamba
Aahahahah huyo alitisha sanaWalikuwa mabwege dunia nzima,mwingine alikamtwa kalala sebleni kifua wazi hahaah wabongo akili zetu dAh
Umezidisha neno moja Chifu!Shilingi bilioni 400 zakombwa Benki ya Barclays na Mtanzania ambaye bado hajakamatwa. Ni wizi ulioshirikisha watu wengi wakiwamo watendaji wa benki.
nimesema tu! chochote kinawezekana, mambo ni mengi !weka ushahidi tu au uache uongo.
dunia ina mengi 🤣 🤣 🤣 shauri yako!weka ushahidi tu au uache uongo.
Kama ile ya Leonardo de Caprio true story ya jamaa aliyekuwa akichonhesha cheque feki za benki, tamu balaa
MOVIE inaitwaVp.wolf of wall street au
Ova
Kazi iendeleeKaribuni Kerege
Mdudu huyo.Karibuni Kerege
HaramuMdudu huyo.
Mwenda zake ashakwenda na udikteta wa habari, mama asharuhusu uhuru wa habari ,soon utaliona mtaaniTumemiss sana habari za kiuchunguzi, Nimelikumbuka sana Mwanahalisi ehh mungu baba shusha mkono wako Tulione tena Mtaani. Ameen