Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,299
- 15,026
Usisahsu kumpelekea Mama wawil kinondoni atoe maziwa yakutoshaKaribuni Kerege
Usisahsu kumpelekea Mama wawil kinondoni atoe maziwa yakutoshaKaribuni Kerege
Nikuzipata kama hizo sifanyi kazi tena mm nikula bata tuBil 400 sio mzigo wa kitoto.
Nikuzipata kama hizo sifanyi kazi tena mm nikula bata tu
Hata mboga haitoshi?wakati hela ya escrow ilikuwa billion 354 inchi ilipoteana wewe unasema hela ndogo hiyoni ya chai kabsa ata mboga haitoshi kununulia
Huo Mzigo ukiuweka bank unakula unauacha anakuja mtoto anakula anaachia wajukuu kama kila siku ukiwa unakula bata la milioni 1 itakuchukua miaka 1100 kuja kuimaliza...Kwahiyo ukitumia vizuri kila siku milioni 1 kama kwa evarage utaishi miaka 80 basi unaweza kurithisha vizazi 15.
Daaa aisee dunia haiko sawa kabisa
Agakhan wanajua iyohela imeenda wapi
wacha uwongo, ati scandal za kibenki namna hii hazitokei....Money laundering na wizi wa kifedha inafanyika kwenye nchi zenye weak governments
Weak governments and hasa dictatorships.
Scandals za kibenki namna hii huzikuti kwenye democratic countries zenye bunge,mahakama,vyombo vya habari na serikali inayofanya kazi hasa
Zinapita kwenye miserikali ya hovyo kama hii yenye urasimu na ukimya wa mtu au vyombo vya habari kuhoji
Still,this will happen again and again
weka ushahidi tu au uache uongo.hvi utajiskiaje kujua kwamba aga khan ni taasisi ilioundwa kwa lengo la kutakatisha fedha na hizi nyingine ni mbwembwe tu???
Hao haoKwani Hakuna wazungu au wahindi wabongo ?
Catch me if you canVp.wolf of wall street au
Ova
"It's not okay to 'steal from third world, corrupt countries' but it's very okay to spend the loot 'in first world, democratic havens' "- is the norm🙄wacha uwongo, ati scandal za kibenki namna hii hazitokei....
Taja nchi moja!
wewe na hao wezi ni kitu kimoja.
...and I am not saying this lightly.
Aluta continua.
I see this as a prelude to something fishy, as if its not already so,
Mwamvita Makamba nae pini? Kweli kila mtu ana type yake.wakikutia huo mpunga unachagua pini yoyote unayotaka tena level za kina mwavita makamba
Acha hiyo, hii madhani inaitwa ‘catch me if you can’, ni ya muda sanaVp.wolf of wall street au
Ova