Mtanzania Anayeishi Spain

Bueno Dias, Como stades amigo!

Asante sana Mkuu kwa Ushauri.
 
Ukipata muda wa ziaada tafuta histoy sahihi ya spein utakua umejua kitu la hivi
 
Wana JF natafuta mtz yoyote ambaye yupo Spain. Nimekuja Spain kishule lakini ningependa kukutana na wabongo wenzangu, tubadilishane hata mawazo
Acha uswahili utie stori na nani huku? Kapige stori ulikotoka.
 
Wana JF natafuta mtz yoyote ambaye yupo Spain. Nimekuja Spain kishule lakini ningependa kukutana na wabongo wenzangu, tubadilishane hata mawazo
Muombe mungu akukutanishe na watu sahihi wa kukupa kampani usipoteze muda wako kuwatafuta watu wa kibongo huko.unaweza kukutana nao ukajakujuta.endapo ilipangwa ukutane nao utakutana nao tu...just concentrate on what took you there my friend.
 
Asante sana Mkuu wilbald
 
Lengo ni tujue tu uko spain.haya na me niko norwich-uk kimasomo

Ooh we jamaaa unajishushia heshima kuandika comment kama hii. Hivi mtu ajulikane yuko Spain ili iweje? Thinking capacity for amateur jf user! No no, kama uko Norwich na unawaza kiswahili hivi uko very wrong
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…