Mtanzania Anayeishi Spain

$300 ?ukitoka hapo unapuputika rubi ama shomb..
 
Wana JF natafuta mtz yoyote ambaye yupo Spain. Nimekuja Spain kishule lakini ningependa kukutana na wabongo wenzangu, tubadilishane hata mawazo

Mdogo wangu usifanye KOSA hilo kabisa, mimi niliwahi kushituliwa na Mweusi mwenzangu kule Belgium kuwa nisisthubutu kujipendekeza kwa weusi au watu wa kwetu bila kuwafahamu vizuri, huyo mshauri wangu alinifahamisha kuwa wengi wetu tunakwenda Ulaya kimagumashi, wengine biashara za Poda ndio zinatuweka huko, na wengine makosa kadhaa ya jinai, na kwa kiasi fulani wale jamaa wa usalama huwa wanawajua hawa jamaa ila huwa bado wanawavutia pumzi kuujua mtandao mzima, sasa wewe unaweza kuwa na bahati mbaya siku mnazoeana na hawa jamaa ndio siku draft inatimia na kuwa complete report mtazolewa na utakuja duaa unaunganishwa kwenye makosa makubwa ambayo huyafahamu, kama UNGA, Ugaidi nk. lakini pia wengine huwa matapeli tu na wanakweza kukuliza na wakakusakizia kesi kama za ugaidi ili urudishwe kwenu 24hr. Sisimi ni wote ila huna haja ya kutafuta wakwenu wakati umewaacha hapo kwenu ''mwakaleli'' tafuta marafiki wapya, kutoka nchi nyingine upate expo nyingine....... mimi leo alhamdulillah ninamarafiki takriban dunia yote kwa sababu niliachanana kiherehere hicho.... acha woga wa maisha DOGO
 

Wewe utakuwa baharia tu....haya bana wasalimie pande za Antwerp na wabongo wasoteaji pale ugiriki...
 
Wewe utakuwa baharia tu....haya bana wasalimie pande za Antwerp na wabongo wasoteaji pale ugiriki...
hahaha yes, from Antwerp Rotterdam Bremen Hamburg Le havre Marseille and so..
 
Mkuu ulikaa how long? ahhaahaha,, watoto wapo ila hiyo walikupiga sana,, maana kuna wa hapa nje ya camp nou, BJ euro 10 showtime Euro 30,, ahahah wanasumbua sana kama wa Buguruni pale,,, maana napita kila siku usiku nikitoka xcul.
Kama ukimwi sio mwingi piga nyapu
 
Mkuu ulikaa how long? ahhaahaha,, watoto wapo ila hiyo walikupiga sana,, maana kuna wa hapa nje ya camp nou, BJ euro 10 showtime Euro 30,, ahahah wanasumbua sana kama wa Buguruni pale,,, maana napita kila siku usiku nikitoka xcul.
Hahahaha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Buguruni
 
Napenda sana kwenda nchi za Scandnavia... I thnk nitajila siku moja niende huko, nzichange change nikazulule kidgo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…