Mkuu niko hapa kwenye bucha ya paka sokoni huwan Jung.Habari zenu ndugu zangu watanzania,!? Yeyote aliepo Hanoi city tuwasiliane.
😂😂 si duniani mkuu au ni mars?Duh kumbe wapo wanaoishi veitnam 🤔
SeriousMkuu niko hapa kwenye bucha ya paka sokoni huwan Jung.
Una macho ya rangi gani ili akifika akutambue?Njoo hapa karibu na stendi ya zamani ya Hanoi tuonane bro
🤣🤣Njoo hapa karibu na stendi ya zamani ya Hanoi tuonane bro
🤔🤣🤣 dahhhUna macho ya rangi gani ili akifika akutambue?
Kabisaaa, na ndo vizurSema kumechangamka sana
Unatafuta nin hapo ndgNjoo hapo wanapojiuza madada poa karibia na bucha ya vyura.
Wa nn tenaUpweke
Tupeane michongo mkuu isijekua kumewak.
Hadi akirudi anakuwa amesahau na kiswahili.Upweke
Mimi nina mawazo ya kichizichizi.Vipi,unapenda nije tubadilishane na ya kwako?hapana kubadilishana mawazo na mbinu zakuyakabili maisha