Mtanzania anaetapeli Japan Huyu hapa!

Mtanzania anaetapeli Japan Huyu hapa!

Snitch

Senior Member
Joined
Oct 22, 2011
Posts
165
Reaction score
42
Watanzania tumekua na tabia ya kuaminiana especially unapoona ni Mtanzania mwenzako inakua ni rahisi na kufikia hatua ya kumwamini mtu haswa anaeishi nje ya nchi.

Mtanzania mwenzetu anaishi Japan a lakini ameshatapeli watu wengi sana hapa nyumbani mpaka sasa hajaleta Magari Yao .
Kwa tahadhari ni kwamba dunia imebadilika na wengi wao wamebadilika na maisha yamekua magumu pande zote..

Nimeamua kuweka post Leo na picha najua kuna wana jamii wanaweza kua wameguswa au Ndugu au jamaa zao wameguswa na ANTHONY PAUL KIHAMPA ambae kwa sasa ameshatapeli ZAMBIA NA BURUNDI NA KENYA.

Mwanzoni alikuja na Mjapan na kujenga mazingira ya kuaminika lakini Kila aliempatia Pesa mpaka sasa inafika miaka miwili au mmoja na nusu hakuna kitu.

Tuchukue tahadhari asiekua na picha anaweza kuwa nayo isaidie.
 
Mkuu hujuwi kuwa akili ni nywele na kila mtu ana zake.Pia ni vizuri ukathibitisha hoja hii. tusije pakana matope hapa bure.
 
Mkuu hujuwi kuwa akili ni nywele na kila mtu ana zake.Pia ni vizuri ukathibitisha hoja hii. tusije pakana matope hapa bure.
Unachosema ni kweli lakini ni bora ukaamini huyu jamaa anayafanya hapo bila ushahidi, kuliko kutapeliwa bila ushahidi
 
Maelezo hayajajitosheleza kabisa. Sikupingi ila sikuungi mkono pia. Hebu weka ushahidi wa waliotapeliwa na nyaraka husika. pia weka hat picha uliyoahidi kuiweka.

Ukweli utatuweka huru!!!
 
Tunaomba vithibitisho mkuu vya watu aliowatapeli na picha, nipo tayari kufuatilia kwenye ubalozi wetu hapa Japan, kupata taarifa za huyo mtu.
 
Weka ushaidi usionekane unamchafua tuu jamaa kama amekutapeli weka visibitisho vyote alivyokutapeli au ao wa kenya na wazambia aliowatapeli mpaka kufikia apa kusema kuna mawili unafiki au ukweli

Sent from my kiberiti using JamiiForums
 
hakuna sababu ya kumshambulia yeye ametoa kama general warning so its up to you unae deal na huyu jamaa kujiridhisha zaidi huyu jamaa ni sawa na msamaria mwema anayetoa tahadhari kwa leo labda usikatishe mtaa flan huku uswahilini kuna vijana wanakaba sasa wewe uanze kumuomba ushahidi nani amekabwa? nipe rb? nk
 
Inawezekana ametapeliwa ila maelezo yake hayajitoshelezi na tupo hapa kuchangia/kutoa msaada bahati nzuri kuna wengi tunaishi hapa Japan na tupo tayari kufatilia hiyo issue.
 
Back
Top Bottom