Mtanzania aliyemtikisa Isaac Newton

Mtanzania aliyemtikisa Isaac Newton

It is a false dichotomy logical fallacy to think that whoever mentions Jesus believes in the Bible.

There is no contradiction or dichotomy there, you are making one up in the famous illiterate "all or nothing at all" tradition of many of your ilk.

This pitter pattering pursuit of purity is preposterously pugilistic with neither parity nor purchase on logical thinking.
Hii ngeli yako blaza Kiranga ni very very archaic...nijibu tu kiswahili,though i real understand what you mean...haya nijibu swali langu sasa
 
Hii ngeli yako blaza Kiranga ni very very archaic...nijibu tu kiswahili,though i real understand what you mean...haya nijibu swali langu sasa
Siyo archaic. Sema tu hujui Kiingereza cha kawaida tu.

Kama umeelewa unataka niandike Kiswahili ili iweje?
 
Siyo archaic. Sema tu hujui Kiingereza cha kawaida tu.

Kama umeelewa unataka niandike Kiswahili ili iweje?
Ni archaic sana...nimetaka ujibu kwa kiswahili kwa ajili ya manufaa ya wengi...hizi mada zinasomwa na wengi mkuu
 
Ni archaic sana...nimetaka ujibu kwa kiswahili kwa ajili ya manufaa ya wengi...hizi mada zinasomwa na wengi mkuu
Kwa nini mnaona wengi hawahitaji kujifunza Kiingereza na kila kitu watafsiriwe?

Kwa nini wasijifunze Kiingereza katika dunia hii ambayo kila kitu kipo online?
 
Back
Top Bottom