Mtanzania aliyemtikisa Isaac Newton

Mtanzania aliyemtikisa Isaac Newton

Wapo watanzania wengi tu bwashee.

Kuna Prof Ainory Gesase . Yeye ni mtaalamu wa Anatomical variations.

Yeye aligundua mishipa ya figo na Korodani ( ranal & testicular vessel) zenye njia za kipekee mno.
Mkuu kumbe umepita Tiba Udom hapo kongole sana.
 
Mpemba apewe hongera zake. Lakini sio sawa kabisa kumlinganisha na Isaac Newton. Discovery ya mpemba ni coincidental na kuna possibility wengi walishagundua the same thing without recognition.

Kinyume na Isaac Newton ambaye discoveries zake, more than one, zilitokana na sheer thinking ability.
 
Mtoa mada kwa alivyopamba, lazima ni mnywa urojo kmmk. Usijali mla urojo mwenzenu tarehe 29 october kwisha habari yake!
 
Erasto mpemba alikuwa ni mzaliwa wa Lushoto mkoani Tanga, Alikuwa ni mwanafunzi ambae alikuwa na bidii katika masomo yake

Wakati yupo kidato cha tatu katika shule ya secondary Magamba ya mkoani Tanga walikuwa wakitengeneza aiskrimu za maziwa na kuweka kwenye friji ili zigande

Kawaida yao walikuwa wakichemsha maziwa ya moto kisha wanaweka sukari wanasubiri maziwa yapoe halafu ndio waweke kwenye friji

Lakini nafasi ilikuwaga ni ndogo katika friji kwahiyo kama ukichelewa itabidi usubiri wenzako aiskrimu zao zigande ndio uweke ya kwako

Siku moja Erasto Mpemba aliweka maziwa yakiwa bado ni ya moto akihofia kukosa nafasi kwenye friji, ila wakati anasubiri alijua kwamba haiwezekani maziwa yake yakaganda maana yalikuwa ni ya moto

Lakini jambo la kushangaza ni kwamba maziwa yake yaliwahi kuganda haraka kabla ya walioweka maziwa yaliyopoa, jambo lililomshangaza sana Erasto Mpemba na kutaka kujua kwanini iwe hivyo?

Alimfuata mwalimu wake wa physics ambaye alimkatalia akisemaView attachment 3488436
Wakati hatambuliki, vilaaza kama Saamiaa wanapeewa ujiko kwa uchawa na uzwazwa.
 
Malizia au imeisha?
Ya mwaka gani hii?
The Mpemba effect is a phenomenon where, under certain conditions, a liquid (usually water) appears to freeze faster when it's hotter than when it's cooler. This seems to defy the conventional understanding of thermodynamics.

Key Points:
1. Observation: The effect is named after Tanzanian high school student Erasto Mpemba, who in the 1960s observed that hot ice cream mix froze faster than cold mix.
2. Controversy: The Mpemba effect is still not fully understood and has been the subject of debate among scientists.
3. Possible explanations: Some possible explanations include:
1. Evaporation: Hot water may evaporate more quickly, reducing the amount of liquid to be frozen.
2. Convection: Hot water may create convection currents that help to cool it faster.
3. Supercooling: Hot water may be less likely to supercool, allowing it to freeze more quickly.

Importance:
1. Understanding thermodynamics: The Mpemba effect challenges our understanding of thermodynamics and encourages further research.
2. Practical applications: Understanding the Mpemba effect could have practical implications for cooling systems and food preservation.

While the Mpemba effect is intriguing, more research is needed to fully understand its causes and implications.
 
Kudos to him.

Lakini hiyo Mpemba effect ilishaandikwa na Artistotle miaka aliyoishi huko nyuma kabla ya Yesu kuzaliwa. Aristotle alifariki miaka 322 kabla ya common era /kuzaliwa na Yesu.

Ina maana Aristotle aliandika hili jambo miaka zaidi ya 2347 iliyopita.

Na zaidi, hiyo Mpemba effect yenyewe inakuwa questioned.

Soma hapa.

Mkuu Kiranga Sakala Kandubwa Kiranga wa Mbwamaji,unamtaja Yesu tena wakati huamini katika bible wala dini? Ni vipi hapo mkuu?
 
Mkuu Kiranga Sakala Kandubwa Kiranga wa Mbwamaji,unamtaja Yesu tena wakati huamini katika bible wala dini? Ni vipi hapo mkuu?
It is a false dichotomy logical fallacy to think that whoever mentions Jesus believes in the Bible.

There is no contradiction or dichotomy there, you are making one up in the famous illiterate "all or nothing at all" tradition of many of your ilk.

This pitter pattering pursuit of purity is preposterously pugilistic with neither parity nor purchase on logical thinking.
 
Back
Top Bottom