Mtanzania alihusika katika shambulizi la Kambi ya Marekani huko Manda, Lamu

Huyo wenu tulishamuangamiza. Mkituletea mwingine atafuata njia hiyo hiyo. Huku hatucheki na gaidi. Tunawalipia nauli waende wakafire mabikira huko "mbinguni".
Aisee kumbe yule gaidi wetu aliyekua gerezani kwenu hapo kenya mliamua kumnyonga?
 
Umeiona logic yako vile haingiliani na ulichomaanisha
Hao baada ya kuwapiga marekani vijana wetu wa kupadua vichwa wakamua kuwapeleka mbele za haki kabla wawamalize wamarekani

Jamaa anakimbia sehemu ambayo hajavamiwa, kweli
Sidhani kama unaelewa unalolisema. KDF pamoja na baadhi ya wanajeshi wa USA walikua pamoja katika hiyo kambi, ila KDF walikua wengi, Alshabaab walipovamia, KDF wote walikimbia wakaacha wamarekani wakipigana peke yao, hadi Alshabaab walupoondoka, KDF wakaomba msaada toka Nairobi ndio wakaanza kuwatafuta mafichoni na kuwaua baadhi yao, tayari Wamarekani 3 walishauliwa.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Ulishawai ingia katika kambi ya jeshi ambayo inatumika na nchi mbili tofauti kweli au unabwetuka tu

Kambi za jeshi zipo na sectors we kibwengo, wanajeshi wata share kambi lkn wala hawawezi share sectors..
Kila watu na sehemu yao mnenguaji
Watu wakutoka forces tofauti huaga wanagawana sehemu bila kuingiliana kijinga jinga...

Pale lamu USA wana sehemu yao na KDF pia vile vile, al shabab walivamia sehemu ya USA
 
Alshabab sehemu wanauliwa hupangwa na kupigwa picha sasa wewe nionyeshe kichaka hapo km wale wa juzi walioliwa na special kule kichakani
 
Kwahiyo wamarekani wanaolalamika kwamba KDF walijificha na kuwaacha Peke yao wanadanganya?, hovyo sana KDF. You have very weak and stupid army, wacha kutetea ujinga wenu.

Wamarekani wanalalamika hadi wiki hii kwa kitendo cha KDF kukimbia na kuwaacha wenyewe wakipigana, wewe unaulizia picha, wewe onyesha picha za hao wamarekani 3,waliouliwa, au ni uongo hawajauliwa hadi uone picha?

Yaani haya mafia dini ni mapumbavu........mbona asife Kwanza huyo anayekushawishi ujinga wake......na bado mkiendelea kuleta shobo dundo kwenye dini mtakufa hata ukoo mzima Kwa ujinga wenu....mikubavu nyie
 
Kundi la Alshabaab limethiri ya kwamba raia wa Tanzania alihusika katika shambulizi la Manda airfield huko Lamu Kenya.

Jamaa huyu alislimu na kuwa muislamu mwaka wa 2015, kisha akapelekwa Somalia kupigana.

Nimewaambia mara ngapi nyie bongo kwamba mna shida ya ugaidi nchini mwenu. Tanzania ndio imefuatilia Kenya kutoa idadi kubwa ya wapiganaji Somalia.

Sasa hivi mmezingirwa na vita vya magaidi huko Mozambique na Congo, very soon vijana wengi watazidii kujiunga na vikundi hivi na kisha kuwatishia usalama wenu.

Mjiadhari. Kijana wenu wa pili kuuliwa Kenya kwa sababu ya ugaidi after yule Mberesero.

=========

NAIROBI (SD) – Al-Qaeda linked terror group Al-Shabaab has for the first time released a video displaying the names and faces of five militants who attacked a US naval base in Kenyan coastal region.

Simba camp which will mark the first anniversary of the attack is located in Manda Bay of Lamu region.

Early in the morning, on January 5th last year, heavily armed al-Shabaab fighters stormed heavily fortified US base, prompting fierce gunfire with Kenya and US troops in the base.

The attack which lasted for more than an hour left dead three Americans and number of Kenyan soldiers. Six aircrafts were also destroyed.

Al-Shabaab on Monday released over 39 minutes long purported video of the fighters who took part in the attack.

The men were identified as Moulana Faruq Moulana, (Ahmed Al-Muhajir), who leading men was from Yemen, Abubakar Al-Muhajir, a Tanzanian and Ali Muhammad Ali, (Qudama Al-Muhajir) from Burji tribe in Ethiopia Ethiopia.

Others are Abdulwali Muhammad Ibrahim “Moallim Omar” and Adam Iman Yusuf (Abdulkareem) both from Somalia.

According to Kenya police report released hours after the attack last year, five militants were neutralised in the attack but it is not clear whether the five are the aforementioned individuals in the al-Shabaab’s video.

Last February, the U.S. military claimed to have killed a senior al-Shabab leader behind the deadly Jan. 5 attack on the Manda Bay base in precision airstrikes, along with his wife in Hilib town, an al-Shabaab stronghold town.

A claimed dismissed by Somalia’s largest telecommunications company, Hormuud which stated the individual who was killed in the attack was one of its employees saying Mohamud Hajji Salad (the subjected targeted) “had nothing to do with any group or organization.”

Early last month, the terror group also released a video displaying the names and faces of five assailants who attacked a hotel in Nairobi in 2018.

The five attackers of DusitD2 hotel were named as Osman Ahmed Hassan, Ali Salim, Abdigani Arap Yusuf, Mohamed Adam Nur and Mahir Khalid. The group said

In the video, the attackers said that their assault is a response to the decision by American President Donald Trump to recognise Jerusalem as the capital of the ‘Jewish state’.

Al-Shabaab has been carrying out attacks in Kenya since 2011 when the East Africa nation sent its troops to Somalia to al-Shabaab fighters.

The group also attacked Kenya military inside Somalia, killing hundreds of soldiers in two deadly raids on Kenya Defence Forces (KDF) bases in El-Adde and Kulbiyow towns in Southern Somalia.

Source:
View attachment 1667347
Kdf weak and stupid Amy wamarekani wanalalamika kuachwa wenyewe
 
Ulishawai ingia katika kambi ya jeshi ambayo inatumika na nchi mbili tofauti kweli au unabwetuka tu

Kambi za jeshi zipo na sectors we kibwengo, wanajeshi wata share kambi lkn wala hawawezi share sectors..
Kila watu na sehemu yao mnenguaji
Watu wakutoka forces tofauti huaga wanagawana sehemu bila kuingiliana kijinga jinga...

Pale lamu USA wana sehemu yao na KDF pia vile vile, al shabab walivamia sehemu ya USA
Soma upuuzi wenu huu mnaoita ni jeshi la nchi US army criticises KDF action during Manda Bay attack
 
Kdf weak and stupid Amy wamarekani wanalalamika kuachwa wenyewe
Ukipigwa lazima ulalamike na utie huruma
Walifikiria vile ni vita gya drone, tena wana bahati wanaishi na KDF mle ndani lkn wangelifyekwa vibaya sana..
Ila vijana wetu wakupasua ubongo wakawahi faster kuwapeleka mbele za haki
 
Wamarekani wanalalamika hadi wiki hii kwa kitendo cha KDF kukimbia na kuwaacha wenyewe wakipigana, wewe unaulizia picha, wewe onyesha picha za hao wamarekani 3,waliouliwa, au ni uongo hawajauliwa hadi uone picha?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hehehe!!umeshachanganyikiwa...rudia tena vizuri post yangu, kisha ujibu
 
Kwahiyo wamarekani wanaolalamika kwamba KDF walijificha na kuwaacha Peke yao wanadanganya?, hovyo sana KDF. You have very weak and stupid army, wacha kutetea ujinga wenu.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Wajifiche vipi na wakati kila watu na sehemu yao
Ukipigwa lazima ulalame, mara hoo mara nini..
Mbona hawasemi mashababi waliuliwa na kdf, tena hawakai sehemu moja walikuja kuwasaidia
 
Ulishawai ingia katika kambi ya jeshi ambayo inatumika na nchi mbili tofauti kweli au unabwetuka tu

Kambi za jeshi zipo na sectors we kibwengo, wanajeshi wata share kambi lkn wala hawawezi share sectors..
Kila watu na sehemu yao mnenguaji
Watu wakutoka forces tofauti huaga wanagawana sehemu bila kuingiliana kijinga jinga...

Pale lamu USA wana sehemu yao na KDF pia vile vile, al shabab walivamia sehemu ya USA

umekuja moto yet bila kujua unaongea pumba.

haya twambie mkivamiwa kambi yote ni sector gani inatakiwa kupambana!!!

mama wa sectors,poor kabisa.
 
Back
Top Bottom