Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 11,754
- 14,654
VuNga! Wanakulana dendana hao wanawake hapo nyuma Walikia wanagombana au ??
VuNga! Wanakulana dendana hao wanawake hapo nyuma Walikia wanagombana au ??
Kabila linaingiaje hapo?Ushamba wa kinyakyusa
wapi wamesema mtanzania ?Fundisho kwa mabishoo wanao post hovyo picha za watu.
Itungwe Mara ya pili? Nikuwaripoti centro tu.kabisa, huyo mnyakyusa wa london kawakilisha tu tabia yetu embu fikiria kama msiba wa wale watoto wa arusha ,familia za marehemu zinaomba privacy ila mijitu imekazana kupost picha na kujitia kusema RIP inabidi sheria ya kudhibiti huo ujinga itungwe.
Mbona magazeti yanaweka Picha ?Picha yoyote ambayo siyo yako huruhusiwi kuibandika popote bila idhini ya mwenyewe. Unless iwe ni public figure tena siyo ya aibu.