Mtanzania afungwa jela London kwa kosa la kupost maiti facebook

2fb8a9a12ef5d855835adfcb5d7f6159.jpg
na hao wanawake hapo nyuma Walikia wanagombana au ??
VuNga! Wanakulana denda
 
Hiyo mahakama inaendeshwa kwa unyonyaji haiwezekani impangie mtu cha kupost!!...
maneno hayo hayo yalisikika sehemu flan yakisemwa na mbongo:D
 
kabisa, huyo mnyakyusa wa london kawakilisha tu tabia yetu embu fikiria kama msiba wa wale watoto wa arusha ,familia za marehemu zinaomba privacy ila mijitu imekazana kupost picha na kujitia kusema RIP inabidi sheria ya kudhibiti huo ujinga itungwe.
Itungwe Mara ya pili? Nikuwaripoti centro tu.
 
image.jpeg
image.jpeg


Huko nyumbani kumekuwa na tabia ya watu kurusha picha za miili ya wapendwa wetu,waliopoteza maisha kwa ajali mbalimbali.Hali hii imeleta sintofahamu nyingi na huzuni kwa ndugu,jamaa na marafiki wa wale wote waliopteza ndugu zao.Jambo hili limepigiwa kelele sana lakini bado kuna "waswahili" hwasikii.

Tumeona kwenye ajali nyingi za barabarani,tumeona kwenye majanga ya majengo kudondoka na hata hivi karibuni tumeona kwenye ajali ya Wapendwa watoto wetu kule Arusha-Tanzania.

Janga hili la kutupia picha za wafu mitandaoni limemkuta "Mtanzania" Omega Mwaikambo huko UK..Ameenda jela kwa kutupia picha za majeruhi wa ajali ya kudondoka kwa jengo la Grenfell Tower.

Msome hapa

"A man who published photos showing the body of a victim of the Grenfell Tower fire has been jailed.

Omega Mwaikambo, 43, posted still images and video on Facebook showing the remains of a person who died in the disaster.

It is understood that he opened a body bag to take pictures of the man's face.

Mwaikambo, who lived on Testerton Walk, west London, just a few yards from the tower, was arrested after the images appeared online.

He pleaded guilty to two offences contrary to section 127 of the Communications Act, Scotland Yard said.

That clause refers to "improper use of public electronic communications network" by posting matter that is "grossly offensive or of an indecent, obscene or menacing character".

He was sentenced to three months at Westminster Magistrates' Court on Friday, police said

Chanzo:ITV News.
 
Kwanza alifanya kosa kubwa kufunga mfuko uliohifadhi maiti ili apige picha. Pili alijisahau kwamba pale ni UK siyo bongo.

Unajua wazungu nao wanauana kishenzi sana, lakini huwezi kuona picha Mzungu amecharangwa na mapanga. Kule Ireland wanacharangana mapanga sana. Ni kama Chiboko ya Nigeria.

Sisi mmh! Mwili mzima mapanga halafu na sura yake inaonekana. Hili ni funzo hakika.
 
Safi sana ningetamani hii sheria ingekuwepo bongo, nachukia sana tabia ya kutumiana picha za maiti, porn, mambo ya kutisha kama binadamu akiteseka nk. Wabongo tubadilike
 
Back
Top Bottom