RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 51,719
- 107,824
Waingereza wapo. Ni council flat ambazo huwa zinatolewa kwa watu wa hali ya chini. Wakimbizi wengi huwa wanazikimbilia hizi nyumba za 'bure' ndio maana unasikia victims wengi ni wahamiaji.Nauliza mnaoishi London. Hivi lile gorofa lililoungua ni wahamiaji tu ndio walipangisha Kwasababu hamna muingereza. Haikuwa hujuma kweli??!