Mtanisamehe kwa hili

Wacha kutokwa povu kimasihara ewe mmatumbi. It is a sign of mental weakness to attack a person who's living a better life than you. Endelea kuishi kimatumbi ukitegemea change
Sitoki povi wewe ndio unatoka povu 😅 umekula kwanza hapo kwa shemeji yako? au dada katoka😅
 
Wacha porojo unajua ukweli kuwa kapuku habebeki. Usalama wao, kwani hawana walinzi? Kingine mtu mwenye ukwasi hawezi Kamwe Kuba ana na wa uka jasho kwenye daladala. Huo ndio ukweli Mchungu
 
Vijana wa millennia mkuje hapa..kuna ujumbe wenu..for sure ni aibu 35+ kupanda madaladala, waachieni hao gen z..nunueni hata baiskeli basi kama mmeshindwa magari.
 
Umesharudi? Si juzi ulisema unapumzika kuingia JF?

Ila naona angalau unajitahidi kutochanganya lugha japo bado kidogo. Endelea kujitahidi hivyo hivyo. Kwa mengine yote uliyoandika hapa unastahili tu kuambiwa Nyanoko faza! 😂😂😂
Ilikua detox ya muda mfupi tu
 
Sasa ndo point ya kuleta mezani hiyo?
 
Shida ni kuwa hii michezo nilishaivuka
Unafanya umatumbi tu dogo , wala hakuna ulicho vuka zaidi ya kujitekenya na kucheka mwenyewe, jinsi upepo unavyovuma ndivyo nyetu za kuku zinazidi kuonekana.
 
Unafanya umatumbi tu dogo , wala hakuna ulicho vuka zaidi ya kujitekenya na kucheka mwenyewe, jinsi upepo unavyovuma ndivyo nyetu za kuku zinazidi kuonekana.
Because mm sio manipulator huwa nikipiga napiga kwenye mshono kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…