Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 7,915
- 14,638
Ukikua utaacha.Enyi wamatumbi mnao taka kuwahi magari ya daladala. Naombeni mnisamehe kwa bandiko hili ila naomba mjitafalari kidogo.
Hivi huwa mnajisikiaje ndani ya nyoyo zenu? Yaani unakuta mtu wa miaka kuanzia 35 na kuendelea eti na yeye anakaa kupambana na vijana wa miaka 20 kwenye daladala.
Wth is wrong with you guys? Hivi ni kwamba mmekata tamaa ya maisha Liwalo na liwe tu? Mimi sema kweli juzi gari la shem lilikua bovu so tu kasema instead of ubering gari ngoja nikapande gari za daladala just for fun maana ni muda mrefu sana.
So katika kufikia pale kituoni kulikuwa na abiria wengi sana, Ila cha kushangaza ni kuwa kulikuwa na watu wazima kabisa.. Yaani nikawa nawacheki wale watu nasikitika tu moyoni najiuliza hata 6M mtu anashindwa kweli kudunduiza akipata? Dah aisee alafu ukiangalia hata mindset za hawa watu, bado kabisa they are man child. Bado hawajakuwa kifikra, basi unaishia kusononeka tu.
Jamani hiki kitu so kizuri hasa kwa watu wazima. Imagine baba wa familia huna usafiri wako, inaitwa mzee wa Kaya. Hapo kuna watoto nyuma yako.. How does that feel?
Hivi wewe kweli una hisia? Kweli kabisa uko sawa kuona wenzako wanaishi maisha na wewe una survive? Kweli kabisa huna uchungu ndani yako wa kujifanya upambane not just for you, ila kwa ajili ya watu walio nyuma yako?
Atleast hata uwe example nzuri kwa wanao kuangalia? Ndugu zangu fanyeni kama kujihurumia. Angalieni mustakabli wa maisha yenu. Angalieni kuwa tayari umri umesha sogea na regrets za mtu mzima ni mbaya zaid ya kijana aliye kuja kubadilika na kutoboa.
Haya, kuna watu huwa wana nongwa. Wewe mwenye nongwa endelea kuona uko sawa mpaka siku utakapo kuja kidharauliwa na vitoto vya elfu mbili ndo utajua na maanisha nini.
Asubuhi njema. Na eny wamatumbi wahini kazin mkaendelee kufanya jambo lile lile kwa miaka 50 straight.
Nimemaliza.
de Gunner umekaa kwa Shemej kwa muda gan?.Ushauri wangu kwako,Kwa hizi Hoja zako ,Sasa umekuja,Hama Kwa shemeji!,Sema sawa .
Sawa,mkumbuke na shemeji hata ada ya Wajomba!Itanichukua chini ya miaka 2 tu Kununua gari level za harrier, miaka 4 kupata range. So naona sio case kwangu. Mifumo ninayo sasa
Kila la kheri kaka.Itanichukua chini ya miaka 2 tu Kununua gari level za harrier, miaka 4 kupata range. So naona sio case kwangu. Mifumo ninayo sasa
Mil 6 utanunua gari gani mkuuEnyi wamatumbi mnao taka kuwahi magari ya daladala. Naombeni mnisamehe kwa bandiko hili ila naomba mjitafalari kidogo.
Hivi huwa mnajisikiaje ndani ya nyoyo zenu? Yaani unakuta mtu wa miaka kuanzia 35 na kuendelea eti na yeye anakaa kupambana na vijana wa miaka 20 kwenye daladala.
Wth is wrong with you guys? Hivi ni kwamba mmekata tamaa ya maisha Liwalo na liwe tu? Mimi sema kweli juzi gari la shem lilikua bovu so tu kasema instead of ubering gari ngoja nikapande gari za daladala just for fun maana ni muda mrefu sana.
So katika kufikia pale kituoni kulikuwa na abiria wengi sana, Ila cha kushangaza ni kuwa kulikuwa na watu wazima kabisa.. Yaani nikawa nawacheki wale watu nasikitika tu moyoni najiuliza hata 6M mtu anashindwa kweli kudunduiza akipata? Dah aisee alafu ukiangalia hata mindset za hawa watu, bado kabisa they are man child. Bado hawajakuwa kifikra, basi unaishia kusononeka tu.
Jamani hiki kitu so kizuri hasa kwa watu wazima. Imagine baba wa familia huna usafiri wako, inaitwa mzee wa Kaya. Hapo kuna watoto nyuma yako.. How does that feel?
Hivi wewe kweli una hisia? Kweli kabisa uko sawa kuona wenzako wanaishi maisha na wewe una survive? Kweli kabisa huna uchungu ndani yako wa kujifanya upambane not just for you, ila kwa ajili ya watu walio nyuma yako?
Atleast hata uwe example nzuri kwa wanao kuangalia? Ndugu zangu fanyeni kama kujihurumia. Angalieni mustakabli wa maisha yenu. Angalieni kuwa tayari umri umesha sogea na regrets za mtu mzima ni mbaya zaid ya kijana aliye kuja kubadilika na kutoboa.
Haya, kuna watu huwa wana nongwa. Wewe mwenye nongwa endelea kuona uko sawa mpaka siku utakapo kuja kidharauliwa na vitoto vya elfu mbili ndo utajua na maanisha nini.
Asubuhi njema. Na eny wamatumbi wahini kazin mkaendelee kufanya jambo lile lile kwa miaka 50 straight.
Nimemaliza.
Thanks mkuu that's well said.de Gunner , kwanza una mingap?.
Okay najua itakuwa chini ya 25. Na ndio Maana unaona una haki ww kupanda daladala na wenye above hapo bas wawe wana magar yao na nyumba zao.
Ila Sio kwamba watu hawatak Maisha Mazuri. Ila wamepambana kwa namna zao na hapo walipo ndio wamefikia.
Najua Lengo sio kuwabeza. Ila Umewashangaa. Kwamba imekuwaje kuwaje. Ila jua tu. Maisha ni fumbo Kubwa.
Ww shemej ako anajimudu. Ila huwez jua kesho yake. Wala kesho yako.
Cha Muhimu ni kupambana.
Uwe na hela au usiwe na hela.
Be humbe Bro.
Life is a Mother Teacher.
Kwanini usione hoja na sio maisha niyaishio mimi. Hakika mmatumbi habebeki
Mkuu nipenda umeonyesha maturity..sina gari ila Nina uhuru. Nanapenda mwendokasi kuliko daladalaKila la kheri kaka.
Unakaa kwa Shemeji. (Mume wa Dada yako).
Sijui ni wap. Ila bila shaka utakuwa Dsm au Dodoma coz umetaja uber/bolt hapo.
Dada yako bila shaka ana 30+yrs.
Je ana gar?.
Baba yako na Mama yako walivyokuwa na 35 yrs walikuwa wana magar?.
Nje ya Mada.
Washua wako je wako mjini pia?.
Nina taka kujenga hoja yangu based na haya maswal niliyokuuliza.
Kutokuwa na mji wangu sio kigezo cha kujua maisha au kutokuya jua. Life lessons don't come with ageSio kwamba watu hawajakuelewa.
Ila wanashangaa ww kushangaa watu wenye 35+yrs kukosa gar na kupanda daladala.
Na wanashangaa pia anayesema bado hajatoka kuanza kujitegemea na akaona uhalisia wa maisha jinsi ulivyo.
In short lile gari ni la home. Wote wako vyema. Ila that's not the issue sitaki watu waone kuwa na tokea maisha mazuri or soo ila nataka waone hoja yangu.Kila la kheri kaka.
Unakaa kwa Shemeji. (Mume wa Dada yako).
Sijui ni wap. Ila bila shaka utakuwa Dsm au Dodoma coz umetaja uber/bolt hapo.
Dada yako bila shaka ana 30+yrs.
Je ana gar?.
Baba yako na Mama yako walivyokuwa na 35 yrs walikuwa wana magar?.
Nje ya Mada.
Washua wako je wako mjini pia?.
Nina taka kujenga hoja yangu based na haya maswal niliyokuuliza.
Una hoja nzuri, ni 40 Sasa sina gari ninakaz nzur, watoto wanasoma vizuri 6 mil ada kwa mwaka napenda magari sana. Lkn what's the priorities? Hujaanza kijitegemea kuna wadogo zangu walianza kununua magari baadae baada ya kuongeza watoto say 2,3 wakaondoa magari, sikuwahi kuuliza Sabab ni nn, ni maisha ndugu.Thanks mkuu that's well said.
Ila nia yangu ni kutoa watu katika complacency ya kukubali maisha walivyo nayo ilihali they can be more. Sure life is unpredictable I agree with you
Nani ana namba za MGANGA mzurii nikachukue ndagu..βΊοΈπβΊοΈπEnyi wamatumbi mnao taka kuwahi magari ya daladala. Naombeni mnisamehe kwa bandiko hili ila naomba mjitafalari kidogo.
Hivi huwa mnajisikiaje ndani ya nyoyo zenu? Yaani unakuta mtu wa miaka kuanzia 35 na kuendelea eti na yeye anakaa kupambana na vijana wa miaka 20 kwenye daladala.
Wth is wrong with you guys? Hivi ni kwamba mmekata tamaa ya maisha Liwalo na liwe tu? Mimi sema kweli juzi gari la shem lilikua bovu so tu kasema instead of ubering gari ngoja nikapande gari za daladala just for fun maana ni muda mrefu sana.
So katika kufikia pale kituoni kulikuwa na abiria wengi sana, Ila cha kushangaza ni kuwa kulikuwa na watu wazima kabisa.. Yaani nikawa nawacheki wale watu nasikitika tu moyoni najiuliza hata 6M mtu anashindwa kweli kudunduiza akipata? Dah aisee alafu ukiangalia hata mindset za hawa watu, bado kabisa they are man child. Bado hawajakuwa kifikra, basi unaishia kusononeka tu.
Jamani hiki kitu so kizuri hasa kwa watu wazima. Imagine baba wa familia huna usafiri wako, inaitwa mzee wa Kaya. Hapo kuna watoto nyuma yako.. How does that feel?
Hivi wewe kweli una hisia? Kweli kabisa uko sawa kuona wenzako wanaishi maisha na wewe una survive? Kweli kabisa huna uchungu ndani yako wa kujifanya upambane not just for you, ila kwa ajili ya watu walio nyuma yako?
Atleast hata uwe example nzuri kwa wanao kuangalia? Ndugu zangu fanyeni kama kujihurumia. Angalieni mustakabli wa maisha yenu. Angalieni kuwa tayari umri umesha sogea na regrets za mtu mzima ni mbaya zaid ya kijana aliye kuja kubadilika na kutoboa.
Haya, kuna watu huwa wana nongwa. Wewe mwenye nongwa endelea kuona uko sawa mpaka siku utakapo kuja kidharauliwa na vitoto vya elfu mbili ndo utajua na maanisha nini.
Asubuhi njema. Na eny wamatumbi wahini kazin mkaendelee kufanya jambo lile lile kwa miaka 50 straight.
Nimemaliza.
Nikuambie tu. Its matters a lot.Kutokuwa na mji wangu sio kigezo cha kujua maisha au kutokuya jua. Life lessons don't come with age
Sasa huyo mtu Unafikiri utamkuta kwenye usafiri wa umma. Kwanza majukumu yake hayamruhusu kabisa. It's illerevant poor people who think public transport is normalNikuambie tu. Its matters a lot.
Raha ya Ngoma ni uingie ndan ucheze.
Ukiwa kwa nje unaweza sema wanaocheza ile ngoma hawachezi vizuri.
Ila ukipewa nafas na ww ucheze ndio unaweza kusema ww ni bora kwa namna yake. Na watu wakaona na wakakubali kuwa its true ww ni bora.
Kuna mtu anaweza kushangaa inakuwaje mtu ana 40+yrs na anafanya kaz serikalini au sehem nzur tu ila bado amepanga na hana gar.
Kumbe hajui nyuma yake kwa miaka na miaka anamuuguza baba/Mama yake kijijini. Akipona wanaumwa baba/mama mkwe. πππ
una watoto watatu ada karibia 10mill kwa mwaka.
Una ndugu watatu wanne unasaidia na wengne unasomesha.
Kuna Misiba, sherehe na dharula za hapa na pale.
Huyu mfanyakaz hata akilipwa 3mill kwa mwezi bado haitatosha.
Sidhani kama una hoja ndugu. Unavyo sema unaipaki it means ukiinunua for leisure au?Una hoja nzuri, ni 40 Sasa sina gari ninakaz nzur, watoto wanasoma vizuri 6 mil ada kwa mwaka napenda magari sana. Lkn what's the priorities? Hujaanza kijitegemea kuna wadogo zangu walianza kununua magari baadae baada ya kuongeza watoto say 2,3 wakaondoa magari, sikuwahi kuuliza Sabab ni nn, ni maisha ndugu.
Kuna muda gari utaipaki tu mtoto aende shule, akiumwa utaihitaji, what's the priorities?