Mtanisamehe kwa hili

Mkuu una umri wa maji ya moto yenye kuchemka, hili siyo kosa lako ni nature.

Nasi sote tuliwahi kuwaza hivyo, tukapambana tulivyoweza na Mungu akatia baraka zake tukashukuru lakini maisha yetu hayalingani na yote tuliyoyawaza na kuyalenga.

Ninakuhakikishia nawe, si kwa kutolea mfano kwa mtu mwingine, nikwa wewe huyo huyo:
Katika kusanyiko la watu wengi kama vituo vya dala dala ama popote unapoona watu wameque kupata huduma flani usije ukawapimia maisha na kuwaona wote wale ni 'class c'.

Pia utakapofikisha umri wa miaka 50 na kama Mungu hajakuua, utakuja kuyajutia sana haya unayoyawaza leo, kwa sababu utajikuta pamoja na kuchakarika sana hakuna lolote la maana kuwazidi vijana wote uliowaacha mbali sana kiumri.

Kifupi, leo waweza kupata, lakini kesho ukawa huna, dunia haijawahi kuwa na haitakuja kuwa sawa kutokana na kuwa kila binadamu huwaza kivyake kwa namna yake na vipaumbele vyake.
 
Thanks for the wise words mkuu.
Nimekuelewa vyema na huenda jinsi nilivyo ifikisha message haikuwa vyema kabisa.

I'll try to be more sane next time
 
Thanks for the wise words mkuu.
Nimekuelewa vyema na huenda jinsi nilivyo ifikisha message haikuwa vyema kabisa.

I'll try to be more sane next time
Now you're talking.

You intended to awakened Wamatumbi , its okay. but the sms was simply focusing on wondering why they had over 35+yrs and don't succeed yet.

And thats NOT okay. Because life has a lot of uncertainty that can caused NOT to have what you think they deserve to have.
 
Ko mwanetu unapull ndinga la shem,anyway wazo zuri ila so kila mtu anaweza afford gari,pia usiwe ba ego ya kuona wengine wazembe kisa hawana.
No mimi nilitaka kuwaamsha tusikae sana katika kuusherekea umaskini
 
Thanks mkuu that's well said.

Ila nia yangu ni kutoa watu katika complacency ya kukubali maisha walivyo nayo ilihali they can be more. Sure life is unpredictable I agree with you
Do you think you ain't complacent being comfortable under the wing of your bro/sis in-law?
 
Sawa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…