Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,639
Pua kama nyumba ya mdudu
Domo kubwa ka lango la hieceUkute babu yako ana pua km hii hii
Cc: GottoloveU
Chogo km kona za iyovuWa juu yangu domo kubwa kama la mamba miguu imeenda upande kama fyekeo shutu unalo sura kama kizibo huna mbele wala nyuma ukienda kama unarudi mgongo kama kiboko
Lione kwenu mko wengi mpaka mtoto wa mwisho anaitwa e.t.cChogo km kona za iyovu
sura kama kobe anakatikaYaangalie kwanza pua pana kama horsepipe ya fiat
Du umejuaje!!?uko black had ukipanda kwa ndinga viooo vinakua tinted