Mtani jembe kotekote

Mtani jembe kotekote

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,119
1418539240229.jpg1418539256030.jpg
 
Hiyo mechi ya kirafiki tu, ngojeni kwenye ligi ya Vodacom.

Wewe lazima ni ukawa, mna viti 16% tu vya serikali za mitaa Tanzania nzima, lakini bado mna-matumaini ya ushindi 2015.

Poleni Yanga, Poleni UKIWA.

Kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Wewe lazima ni ukawa, mna viti 16% tu vya serikali za mitaa Tanzania nzima, lakini bado mna-matumaini ya ushindi 2015.

Poleni Yanga, Poleni UKIWA.

Kwi kwi kwi teh teh teh.

Faiza tuje kwenye ukweli mchungu ccm inakufa, hii asilia 16 ya upinzani kumbuka wapinzani hawakuwa nayo mwanzoni, viti vyote vya upinzani vimepokwa toka ccm!!! Huu si ushindi hata kidogo bali chama kinaporomoka kwa kasi ya ajabu mno

Ccm yaweza kushinda uchaguzi ujao lakini itakuwa kwa mbinde mno na itabaki majeruhi hasa TUOMBEANE TU UHAI NITAKUKUMBUSHA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom