Hiyo adhabu ya kaburi ikoje mkuu?Hivi huyu jamaa alikuwa mtanzania au mkongomani.pumzika mkuu ulazwe sehemu salama na mwenyezi mungu akuepushie adhabu za kaburi.
Shetani, majini na mapepo si viumbe wa Mungu? Sasa itakuwaje wachomwe moto na ni nani anayechoma huo moto. Maana Mungu alisema hawezi kuangamiza viumbe vyake kwa moto wala kwa maji na Mungu ni mwenye kusamehe makosa yote hivyo hata Shetani yuko ndani ya msamahaMpokeeni YESU jamani, kufa kupo na baada ya kufa ni hukumu ya milele. Either uende mbinguni ukaishi na YESU pamoja na malaika au uende kuzimu ukaishi na shetani na majini, mapepo na kuchomwa moto wa milele. Mimi nimeamua kumpokea YESU awe BWANA na mokozi wangu. Wewe je? Chagua YESU, chagua uzima. Ujanja ni kuokoka siku hizi, YESU ndio dili siku hizi, tukiwa na YESU tunatesa hapa duniani, wachawi na wanga hawatuwezi, mamlaka tunayo, tunalofunga duniani na mbinguni linafungwa. YESU hoyeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Huyo mtangazaji ana asili ya wapi? Je alikuwa anasumbuliwa na tatizo gani la kiafya kabla ya kifo chake?
Du! Kama ni hivyo kusingekuwa na haja watu kuswali wala kwenda makanisani/misikitini. Biblia inaniambia ibilisi, waovu wote waliokufa na walio hai watahukumiwa na kuchomwa moto. Soma Ufunuo wa Yohana sura ya 20, aya ya 15 hadi 20.Shetani, majini na mapepo si viumbe wa Mungu? Sasa itakuwaje wachomwe moto na ni nani anayechoma huo moto. Maana Mungu alisema hawezi kuangamiza viumbe vyake kwa moto wala kwa maji na Mungu ni mwenye kusamehe makosa yote hivyo hata Shetani yuko ndani ya msamaha
Hiyo adhabu ya kaburi ikoje mkuu?
Nenda Maweni Hospital utapata taarifa juu ya kifo chake
RejeaMtangazaji maarufu wa Televisheni ya Taifa, Aboubakar Mwanamboka, Amefariki Dunia leo saa 8 mchana katika hospitali ya Maweni Mkoani Kigoma.
Taarifa hii ni kwa mujibu wa taarifa ya Habari ya Saa 10:00 jioni ya TBC Taifa.
RIP Aboubakar Mwanamboka.
Pasco
Pole sana kwa ndg na jamaa zake. Tbccm huku mitaani tunaichukia mno kama tunavyoichukia Tanesco wakifuatiwa na Policcm. Tukiwaona huwa TUNAWAJAMBIA tuu. Kwa sababu hatuna namna nyingine ya kuwashambulia zaidi ya kuwalaani na kuwajambia tuu. Tuungane wanyonge mkiwaona watu wa taasisi hizo wajambieni tuu. Wajambiwe tuu kwani hatuna jinsi na kisheria hakuna kosa.
Too sad!Mtangazaji maarufu wa Televisheni ya Taifa, Aboubakar Mwanamboka, Amefariki Dunia leo saa 8 mchana katika hospitali ya Maweni Mkoani Kigoma.
Taarifa hii ni kwa mujibu wa taarifa ya Habari ya Saa 10:00 jioni ya TBC Taifa.
RIP Aboubakar Mwanamboka.
Pasco
Abou Liongo yupo anaendelea kupiga mzigo kupitia kampuni yake inaitwa Moonlight Media, unaweza kumfollow kwenye social media.Too sad!
Hivi huyu mtangazaji mwingine Abubhakari Liongo yuko wapi siku hizi?