Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,372
- 133,720
Mtangazaji maarufu wa Televisheni ya Taifa, Aboubakar Mwanamboka, Amefariki Dunia leo saa 8 mchana katika hospitali ya Maweni Mkoani Kigoma.
Taarifa hii ni kwa mujibu wa taarifa ya Habari ya Saa 10:00 jioni ya TBC Taifa.
RIP Aboubakar Mwanamboka.
Pasco
Taarifa hii ni kwa mujibu wa taarifa ya Habari ya Saa 10:00 jioni ya TBC Taifa.
RIP Aboubakar Mwanamboka.
Pasco