Mtangazaji wa mechi za kimataifa

Freetown

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
883
73
Samahani kwa vyovyote vile nitakavyokuwa nimeiweka hii habari.
Kwa kifupi mimi ni mpenzi sana wa mpira wa miguu na nina kumbukumbu nzuri sana hata sauti inayotangaza mpira huo. sasa cha kushangaza sauti naona kuanzia world cup ya 1994 mpaka 2006 naona sauti ni ile ile. hii kitu imekuwa ikinisumbua mda mrefu leo nimeamua kuandika kwani sas hivi naangalia hizi mechi za kombe la dunia la vijana sauti ya mtangazaji ndo ile ile ya 1994, 1998, 2002; 2006. naomba niasaidieni mnaojua
 
Inategemea hiyo broadcasting ilikuwa ya Network gani. Jaribu kuangalia [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_FIFA_World_Cup_broadcasters"]HAPA[/ame], naona wale wa ESPN na ABC networks wamekuwa ni watangazaji walewale katika fainali kadhaa za hivi karibuni.
 
Inategemea hiyo broadcasting ilikuwa ya Network gani. Jaribu kuangalia HAPA, naona wale wa ESPN na ABC networks wamekuwa ni watangazaji walewale katika fainali kadhaa za hivi karibuni.

sana sana huwa na angalia watangazaji wa lugha ya kiingereza ila sijajua ni wa espn au ABC, kama unaangalia sas hivi Korea na Germany world cup u-20 unaweza anzia hapo
 
Nadhani mdau unazungumzia sauti ya Bw. Gary Bloom, huyu ni mtangazaji nguli wa ITV ya UK, kama sikosei.

Ktk nchi za 'watu' wanajali sana division of labor na professionalism, hivyo basi, kukiwa na event yeyote yenye mvuto huwa wanajaribu kumpata most qualified person for the job. Huyu Bw. Bloom na wenzake ni mafootball fanatics, ma-pundit, na wana data za kila kona ya ulimwengu, yaani mpira wa miguu ni maisha yao. Hivyo usishangae sana kuhusu hili, ni vijimambo tu, watu wanajali ma-pro.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom