Mtangazaji wa ITV Hemed Kivuyo, atosha

Deo Corleone

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
16,927
13,011
Huyu bonge wa ITV anatoshA hadi anabaki!!
Anavyokariri vitabu na nyimbo then anarelate na habari yaani rahatupu kuliko Nancy!!

Usiombee aripoti wakati timu yako imefungwa!!

hats off bonge hemed
IMG_20141027_210807.jpg
IMG_20141027_210738.jpg
 
Hawa ndo watangazaji, siyo kama wale wanaoigana kila kitu. Kwa mfano kuna karedio station kamoja nilishawahi kukasikiliza kapo Arusha wanakaita triple A, yaani watangazaji wake hawana tofauti kabisa na Clouds FM ya Dar es salaam. Kila kitu wanawaiga jamaa. Kuna vimisemo sijui alianzisha nani mfano ni SHIDAA au BONGE MOJA WIMBO n.k sasa hauoni kabisa ubunifu wa hawa watangazaji wanafanana hadi sauti.
 
nikiripoti toka musoma,mimi ni jonji maranto wa aintiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.lol
 
Vimisemo vyake tuuu mie hoi

kenda haipo mbali na kumi!!

timu hiyo kutoka mitaa yenye pilikapilika nyingi mtaani kariakoo!!

hamkani hali si shwari kwenye timu hiyo baada ya serikali kutaka kupora eneo la wanajangwani na kujenga bwawa la samaki.


maneno yakasemwa,,masikio yakasikia ,kwani hata ujitahidi vipi,tone la mwisho la mkojo ni la chupi!!
 
Back
Top Bottom