Kwa wale ajukuu zangu tu ambao wamo ndani ya Jukwaa hili la JF;
ana nia njema kabisa ila aangalie asije wakati mwingine akawa anawachonganisha watoto pasipo yeye mwenyewe kujua. Anatakiwa kuwa mpatanishi zaidi kuliko kuwa mchochezi. Nadhani kwa walioangalia kipindi cha jana tarehe 23/07/2013 watakubaliana na mimi. Na kuna vingine vingi nyuma nilishawahi kuviona. halafu wakati mwingine anawang'ang'ania wageni wake kuwauliza maswali ambayo ni too personal ku-air majibu yao kwenye public. Anyway mtizamo wangu!
Kwa jana kweli upo sahihi hakukuwa na maana ya kumruhusu Shilole aongee vile juu ya Sinta tena kwenye media kama Clouds ila sishangai sana hizo ndizo kazi na Clouds yaonyesha maana sehemu nyingi wanafanya mambo yao binafsi watangazaji yaani wanaenda nje ya maadili ya utangazaji
Sikukipenda kabisa kipindi cha jana kwakweli kilikaa kiuchonganishi mno, ni kama sasa moto, umewashwa katika ya sinta na shilole
Sikukipenda kabisa kipindi cha jana kwakweli kilikaa kiuchonganishi mno, ni kama sasa moto, umewashwa katika ya sinta na shilole
Sie tunatesekaje mikoani hqtuoni hii clouds
mbona yeye hasemi maisha yake na mzazi mwenza Kusaga ..mbona hasemi aliyempa mimba na maisha yake yote ya aliyemsiponsor kwenye kuwania ubunge viti maalum?