Mtangazaji wa Clouds tv 360 awataka Wasomi wadaiwa HESLB wakauze Ice Cream walipe deni

Kumbe ndio maana Nape anawataka hawa vilaza walau wawe na digii. Kuna watanagazaji wengine ni vilaza sana, hasa huyu Hassan ngoma...uwezo wake wa kufikiri unaishia urefu wa pua yake.
 
Kumbe ndio maana Nape anawataka hawa vilaza walau wawe na digii. Kuna watanagazaji wengine ni vilaza sana, hasa huyu Hassan ngoma...uwezo wake wa kufikiri unaishia urefu wa pua yake.
Uwezo wake wa kufikiri unaishia ndani kwa ndani haufiki hata usawa wa pua.Ova(kama Mrangi)
 
Kwa hili povu wewe si bure utakuwa unadiwa.... Nakushauri kalipe tu deni kabla haujaanza kuuza hizo ice cream.
 
Hasan Ngoma anafata nyayo za Hardson Kamoga naye anataka apewe ukurugenzi!
Kama ww ni mfatiliaji wa clouds 360 utakumbuka kuwa kipindi cha uchaguzi mkuu 2015 H Kamoga, H Polepole na H Ngoma misimamo yao ilikuwa sawa sasa nafikiri anatafuta njia ya kupiga pesa kimtindo!
Hahahaa yy mwenyewe anadaiwa .
 
Sasa mkuu wewe ulijuaje kuwa hatanii?
Then Kama we Ni msomi povu la nini sasa wakat unaweza chambua pumba Na mchele...!!
 
Cert isikupe shida chuo hakujui yule
 
Mawazo potofu Hudson hakupata used kwa Sababu ya kipindi wakati mwingine muwe mnafanya research? Kwani Gondwe naye alipata Udc kwa lip?
 
Kile kipindi si Mukulu huwa anakiangalia sana.sema tu watu wa HELSB walikuwa wazembe kudai wakopaji mpak riba zinetripple nyingine.mie nolimaliza 1998 na kipindi kile nilikopa laki sita tu,leo nimeanza kulipa kama millioni tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…