King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 55,241
- 77,568
Umofia Kwenu wana JF,
Lengo la kuuliza hili swali ni kutaka kujua hii fani kama inalipa siku hizi au kuna vitu behind the scene vinafanywa na hao watangazaji?
Wakuu nimeona watangazaji wengi wa hizi redio zetu za bongo wanakaa mbezi beach,mikocheni au prime areas wakilipia mijengo hadi 1m per month..Nakumbuka iliwahi kusemwa humu kwamba clouds ndio wanalipa vizuri ambapo huwa mtangazaji analipwa hadi kilo 6 kwa mwezi wengine hadi 8.
Sasa tuchukulie mtangazaji analipwa laki 8 hapo hapo anapanga kodi laki 5 kwa mwezi,watangazaji wengi wanadrive haya kila siku buku 10 ya wese,kwa mshahara huo mbona naona kama unakwisha kwenye kodi tu?
Hivi utangazaji unalipa sana siku hizi? Kuna mtangazaji m1 wa michezo amepanga oysterbay na kila week anaenda uingereza kutalii na sijawahi kumuona hata siku moja amepata kazi ya u-mc maana wengi mtasema other source ya income yao ni U-mc.
Utangazaji unalipa sana siku hizi?