Mtangazaji ITV uliyehabarisha wizi wa box la kura Magomeni uwe makini, unatafutwa na "kuwindwa" kwa muda mrefu

Spencer Lameck kuwa makini kuanzia sasa na nyendo zako,kuna watu "wanakuwinda".Sina namna ya kukupata ili nikupe ujumbe huu,lakini napitia JF kukupa "tetesi" kuwa uwe makini,kuna watu "wanakuwinda".

Hawajaanza jana kukuona kama ni "kauzibe" kwao,walianza kuona hauko upande wao toka wakati wa uchaguzi mkuu,team ya kampeni ya "chama dume" kitengo cha Habari na Mawasiliano kilichokuwa kionaongozwa na Mkuu wa Wilaya wa sasa wa Longido,katika majumuisho yao ya kila siku juu ya mwenendo wa kampeni,iliona mtangazaji wa ITV aliyeambatana na Mzee wa Monduli ndio "kikwazo" kwao.

Namna ulivyouhabarisha umma,kwa "mbwembwe" na "bashasha" juu ya kuchanja mbuga katika milima na mabonde kwa mgombea wa chama kingine,ilikuwa kikwazo kwa upande wa pili.

Iliundwa team maalumu kuhakikisha kuwa katika vyombo vya habari vinavyotazamwa sana kama ITV(kwa wakati ule wa 2015),habari za mgombea wao zipate zishereheshwe sana wakati wa taarifa ya habari.

Kwa upande wa "chama dume" mwandishi wa ITV alikuwa Emmanuel Buhohela na upande wa pili alikuwa Spencer Lameck.Huyu Buhohela "alikamatwa" vizuri sana na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Habari wa CCM wa wakati huo ambaye kwa sasa ni mkuu wa Wilaya ya Longido Mh.Daniel Chongolo.Baada ya uchaguzi,Emanuel Buhohela akapata kazi Ikulu,na sasa yupo kwenye kitengo cha Kurugenzi ya Habari Ikulu iliyo chini ya Msigwa na Jaffari Hanyuu(?) ambaye wakati wa uchaguzi alikuwa anaripoti toka TBC One.

Ahadi kubwa kwa Buhohela ilikuwa ni kuhakikisha anampamba na kumremba vizuri mgombea wao,na baada ya uchaguzi "atafikiriwa",na kweli alifikiriwa.Huyu Spencer Lameck hakutoa ushirikiano kila alipojaribiwa "kuhujumu" taarifa za upande aliokuwepo.Huyu Spencer ndio aliibuka na msamiati wa "mafuriko"...Kila ikifika saa mbili,alitupasha juu ya "mafuriko" ya EL.Mafuriko yalehumtesa mtu fulani mpaka kesho.

Huyu Lameck aliwaudhi watu kwa muda mrefu,walikuwa wanakosa sababu ya haraka(immediate Cause),ila sasa wameipata.

Mkutano wa kwanza wa waandishi wa habari na Raia namba moja,Spencer Lameck alipata nafasi ya kumuuliza Mheshimiwa swali,na swali lake lilikuwa kwamba,ni vigezo vipi Rais ametumia kuchagua mawaziri katika baraza lake la mawaziri??Mheshimiwa akamjibu kuwa; "Vigezo nilivyotumia ndio vilevile ambavyo boss wako na chombo chako cha habari kimekuteua wewe kuja Ikulu kuchukua hii habari"...lakini "off Camera",jamaa akaongezewa jibu kuwa unaniuliza vigezo??ni vilevile vilivyofanya wewe uchaguliwa ku-report habari za UKAWA.

Habari ya ITV siku ya uchaguzi Kinondoni ya kuonyesha jinsi mtu alivyokimbia na kasha la kura kituo cha Idrissa-Magomeni,limewakasirisha sana watu,limewaudhi na wamedhamiria kumuadabisha mtu,hawakuta ukweli ule ujulikane.Wanataka kumshikisha mtu adabu...Bwana mdogo usidharau,kuwa makini na nyendo zako,jilinde,kuwa na tahadhari.Tumeamua kuandika hapa,ili waone aibu kufanya kile walichopanga kufanya.

ITV wameomba radhi kwa mtangazaji wao Spencer Lameck kutangaza habari ya makasha ya kura kuibiwa pale Magomeni.Si kwamba ni habari ya uwongo,ila wanasema ni habari iliyoleta "usumbufu" kwa watu wengine.

Mwanangu na kijana wangu Spencer Lameck,tangu sasa...Chunga mienendo na maeneo unayotembelea.Tupo katika kipindi cha kupeana tahadhari kwa kila tunalolitenda.Ubarikiwe.
Simpangii Muumba kitu cha kufanya, lakini ile Jumatano ya majivu nilikua huko na nilipanga kwenda kusali misa ya asubuhi St. Peters nikaaihirisha kutokana na wingi wa majukumu. Nikaona itakua vizuri niende jioni tu nipake kabisa na majivu, ilipofika jioni nikiwa njiani kwenda kupaka majivu, nikaingia JF na kuona picha na taarifa ya bwana yule akiwa amepakwa majivu tayari kuanza kwaresma. Hapo hapo nikaona huu ni uchuro na mzaha mkubwa sana.
Kwakweli simpangii Mungu cha kufanya na sisi wote ni wa kwake na hakuna aliye zaidi ya mwingine, lakini binafsi niliahirisha zoezi la kwenda kupakwa majivu. Nimeamua kwaresima hii yote nitaitumia kumtafakari upya huyu MUNGU, nataka kujua ni wa aina gani huyu MUNGU. MUNGU ambaye hadi leo anatuinulia akina FARAO kwa ajili ya kuwatesa wake? Kufupisha maisha ya akina Aquilina? Akina Farao Wanao vuruga mshikamano ndani ya nchi na jamii.
Kwa kweli nitaendelea kutafakari sana nijue hasa kwanini MUNGU ameleta visa ndani ya Tanzania.
 
Acha mambo ya Kizamani Uchaguzi ulishaisha na tuheshimu maamuzi ya wana Kinondoni. [HASHTAG]#KinondoniDecided[/HASHTAG]. Kila Uchaguzi mkidondokea pua mnasingizia kuibiwa kura.
Kwani kaongelea kuibiwa kura au wewe nae umeamua tu kukomenti.
 
Hilo la box la kura eti kuibiwa ni uzushi mkubwa mno....Chadema hiki hakikukosi kutunga uongo kila siku...box liibiwe ili iwe nini??? Tanzania hii hatujafikia hukokuiba box la kura....
Kilichoibwa ni nini? Sema hicho kitu kinachosumbua. Unadhani wanoongea pamoja na wewe ni vichaa??
 
Spencer Lameck kuwa makini kuanzia sasa na nyendo zako,kuna watu "wanakuwinda".Sina namna ya kukupata ili nikupe ujumbe huu,lakini napitia JF kukupa "tetesi" kuwa uwe makini,kuna watu "wanakuwinda".

Hawajaanza jana kukuona kama ni "kauzibe" kwao,walianza kuona hauko upande wao toka wakati wa uchaguzi mkuu,team ya kampeni ya "chama dume" kitengo cha Habari na Mawasiliano kilichokuwa kionaongozwa na Mkuu wa Wilaya wa sasa wa Longido,katika majumuisho yao ya kila siku juu ya mwenendo wa kampeni,iliona mtangazaji wa ITV aliyeambatana na Mzee wa Monduli ndio "kikwazo" kwao.

Namna ulivyouhabarisha umma,kwa "mbwembwe" na "bashasha" juu ya kuchanja mbuga katika milima na mabonde kwa mgombea wa chama kingine,ilikuwa kikwazo kwa upande wa pili.

Iliundwa team maalumu kuhakikisha kuwa katika vyombo vya habari vinavyotazamwa sana kama ITV(kwa wakati ule wa 2015),habari za mgombea wao zipate zishereheshwe sana wakati wa taarifa ya habari.

Kwa upande wa "chama dume" mwandishi wa ITV alikuwa Emmanuel Buhohela na upande wa pili alikuwa Spencer Lameck.Huyu Buhohela "alikamatwa" vizuri sana na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Habari wa CCM wa wakati huo ambaye kwa sasa ni mkuu wa Wilaya ya Longido Mh.Daniel Chongolo.Baada ya uchaguzi,Emanuel Buhohela akapata kazi Ikulu,na sasa yupo kwenye kitengo cha Kurugenzi ya Habari Ikulu iliyo chini ya Msigwa na Jaffari Hanyuu(?) ambaye wakati wa uchaguzi alikuwa anaripoti toka TBC One.

Ahadi kubwa kwa Buhohela ilikuwa ni kuhakikisha anampamba na kumremba vizuri mgombea wao,na baada ya uchaguzi "atafikiriwa",na kweli alifikiriwa.Huyu Spencer Lameck hakutoa ushirikiano kila alipojaribiwa "kuhujumu" taarifa za upande aliokuwepo.Huyu Spencer ndio aliibuka na msamiati wa "mafuriko"...Kila ikifika saa mbili,alitupasha juu ya "mafuriko" ya EL.Mafuriko yalehumtesa mtu fulani mpaka kesho.

Huyu Lameck aliwaudhi watu kwa muda mrefu,walikuwa wanakosa sababu ya haraka(immediate Cause),ila sasa wameipata.

Mkutano wa kwanza wa waandishi wa habari na Raia namba moja,Spencer Lameck alipata nafasi ya kumuuliza Mheshimiwa swali,na swali lake lilikuwa kwamba,ni vigezo vipi Rais ametumia kuchagua mawaziri katika baraza lake la mawaziri??Mheshimiwa akamjibu kuwa; "Vigezo nilivyotumia ndio vilevile ambavyo boss wako na chombo chako cha habari kimekuteua wewe kuja Ikulu kuchukua hii habari"...lakini "off Camera",jamaa akaongezewa jibu kuwa unaniuliza vigezo??ni vilevile vilivyofanya wewe uchaguliwa ku-report habari za UKAWA.

Habari ya ITV siku ya uchaguzi Kinondoni ya kuonyesha jinsi mtu alivyokimbia na kasha la kura kituo cha Idrissa-Magomeni,limewakasirisha sana watu,limewaudhi na wamedhamiria kumuadabisha mtu,hawakuta ukweli ule ujulikane.Wanataka kumshikisha mtu adabu...Bwana mdogo usidharau,kuwa makini na nyendo zako,jilinde,kuwa na tahadhari.Tumeamua kuandika hapa,ili waone aibu kufanya kile walichopanga kufanya.

ITV wameomba radhi kwa mtangazaji wao Spencer Lameck kutangaza habari ya makasha ya kura kuibiwa pale Magomeni.Si kwamba ni habari ya uwongo,ila wanasema ni habari iliyoleta "usumbufu" kwa watu wengine.

Mwanangu na kijana wangu Spencer Lameck,tangu sasa...Chunga mienendo na maeneo unayotembelea.Tupo katika kipindi cha kupeana tahadhari kwa kila tunalolitenda.Ubarikiwe.
Yasije kumpata ya Azory ambaye leo ni siku 90 hajulikani alipo japo watu wasiojulikana wanaelewa mahali alipo
 
Hilo la box la kura eti kuibiwa ni uzushi mkubwa mno....Chadema hiki hakikukosi kutunga uongo kila siku...box liibiwe ili iwe nini??? Tanzania hii hatujafikia hukokuiba box la kura....
Mmh! Aisee.
 
yaani badala ya sili-kari itusaidie kutatua matatizo yetu ila inasababisha matatizo na hofu kwa watu wanaosadikika waanaishi ndani ya tanzagiza.
 
So sad Mkuu. Habari za uhakika nilizopata ni kuwa Spencer Lameck ameigharimu ITV. Jana niliweka bandiko humu kuhusu kukatwa matangazo ghafla kutokana na habari ile. Hilo agizo lilitoka TCRA na kwa waziri Mwakyembe. Hatimaye nimeambiwa kuwa Spencer hatasikika tena ITV. Jamaa wameamua kukipenda zaidi kituo chao na ugali wao kuliko Spencer na wameamua kumuweka eneo lingine! Najua baada ya hili sekeseke ataibuka shujaa!
Duh aisee
 
Spencer Lameck kuwa makini kuanzia sasa na nyendo zako,kuna watu "wanakuwinda".Sina namna ya kukupata ili nikupe ujumbe huu,lakini napitia JF kukupa "tetesi" kuwa uwe makini,kuna watu "wanakuwinda".

Hawajaanza jana kukuona kama ni "kauzibe" kwao,walianza kuona hauko upande wao toka wakati wa uchaguzi mkuu,team ya kampeni ya "chama dume" kitengo cha Habari na Mawasiliano kilichokuwa kionaongozwa na Mkuu wa Wilaya wa sasa wa Longido,katika majumuisho yao ya kila siku juu ya mwenendo wa kampeni,iliona mtangazaji wa ITV aliyeambatana na Mzee wa Monduli ndio "kikwazo" kwao.

Namna ulivyouhabarisha umma,kwa "mbwembwe" na "bashasha" juu ya kuchanja mbuga katika milima na mabonde kwa mgombea wa chama kingine,ilikuwa kikwazo kwa upande wa pili.

Iliundwa team maalumu kuhakikisha kuwa katika vyombo vya habari vinavyotazamwa sana kama ITV(kwa wakati ule wa 2015),habari za mgombea wao zipate zishereheshwe sana wakati wa taarifa ya habari.

Kwa upande wa "chama dume" mwandishi wa ITV alikuwa Emmanuel Buhohela na upande wa pili alikuwa Spencer Lameck.Huyu Buhohela "alikamatwa" vizuri sana na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Habari wa CCM wa wakati huo ambaye kwa sasa ni mkuu wa Wilaya ya Longido Mh.Daniel Chongolo.Baada ya uchaguzi,Emanuel Buhohela akapata kazi Ikulu,na sasa yupo kwenye kitengo cha Kurugenzi ya Habari Ikulu iliyo chini ya Msigwa na Jaffari Hanyuu(?) ambaye wakati wa uchaguzi alikuwa anaripoti toka TBC One.

Ahadi kubwa kwa Buhohela ilikuwa ni kuhakikisha anampamba na kumremba vizuri mgombea wao,na baada ya uchaguzi "atafikiriwa",na kweli alifikiriwa.Huyu Spencer Lameck hakutoa ushirikiano kila alipojaribiwa "kuhujumu" taarifa za upande aliokuwepo.Huyu Spencer ndio aliibuka na msamiati wa "mafuriko"...Kila ikifika saa mbili,alitupasha juu ya "mafuriko" ya EL.Mafuriko yalehumtesa mtu fulani mpaka kesho.

Huyu Lameck aliwaudhi watu kwa muda mrefu,walikuwa wanakosa sababu ya haraka(immediate Cause),ila sasa wameipata.

Mkutano wa kwanza wa waandishi wa habari na Raia namba moja,Spencer Lameck alipata nafasi ya kumuuliza Mheshimiwa swali,na swali lake lilikuwa kwamba,ni vigezo vipi Rais ametumia kuchagua mawaziri katika baraza lake la mawaziri??Mheshimiwa akamjibu kuwa; "Vigezo nilivyotumia ndio vilevile ambavyo boss wako na chombo chako cha habari kimekuteua wewe kuja Ikulu kuchukua hii habari"...lakini "off Camera",jamaa akaongezewa jibu kuwa unaniuliza vigezo??ni vilevile vilivyofanya wewe uchaguliwa ku-report habari za UKAWA.

Habari ya ITV siku ya uchaguzi Kinondoni ya kuonyesha jinsi mtu alivyokimbia na kasha la kura kituo cha Idrissa-Magomeni,limewakasirisha sana watu,limewaudhi na wamedhamiria kumuadabisha mtu,hawakuta ukweli ule ujulikane.Wanataka kumshikisha mtu adabu...Bwana mdogo usidharau,kuwa makini na nyendo zako,jilinde,kuwa na tahadhari.Tumeamua kuandika hapa,ili waone aibu kufanya kile walichopanga kufanya.

ITV wameomba radhi kwa mtangazaji wao Spencer Lameck kutangaza habari ya makasha ya kura kuibiwa pale Magomeni.Si kwamba ni habari ya uwongo,ila wanasema ni habari iliyoleta "usumbufu" kwa watu wengine.

Mwanangu na kijana wangu Spencer Lameck,tangu sasa...Chunga mienendo na maeneo unayotembelea.Tupo katika kipindi cha kupeana tahadhari kwa kila tunalolitenda.Ubarikiwe.
Spencer Lameck,kudeal na hao mabweha ni rahisi sana,
1. Popote pale usiwe peke yako,kuwa na watu kwanzia wanne na kuendelea.
2.usimuamini mtu yeyote,tii hisia zako.
Hata boss wako usimuamini.
3.badili ratiba yako ya maisha,kula hata marafiki.
4.ikibidi tembea na silaha,mtu akikuteka jua huko ni kufa,anza nae.
 
Maskini, wasimpoteze tu kijana wa watu. Boss ameshaomba radhi kwa kilichotokea jana hope msamaha umekubaliwa na wanye ñjiii hii
Kwa wakora wa mamlaka unadhani kuomba Radhi kwa Boss wake inatosha? maana kwao Damage tayari
ukweli ni shida
 
Acha mambo ya Kizamani Uchaguzi ulishaisha na tuheshimu maamuzi ya wana Kinondoni. [HASHTAG]#KinondoniDecided[/HASHTAG]. Kila Uchaguzi mkidondokea pua mnasingizia kuibiwa kura.
Kwa akili zako ule uchaguzi wa jana nani kadondokea pua? We unaingiza masamduku ya kura ukisimdikizwa na mapolisi kisha unashangilia? Una tofauti gani na mtu anayepiga punyeto kisha anashangilia luwa kalala.na.mwanamke? Kanjanja shetani
 
Spencer Lameck,kudeal na hao mabweha ni rahisi sana,
1. Popote pale usiwe peke yako,kuwa na watu kwanzia wanne na kuendelea.
2.usimuamini mtu yeyote,tii hisia zako.
Hata boss wako usimuamini.
3.badili ratiba yako ya maisha,kula hata marafiki.
4.ikibidi tembea na silaha,mtu akikuteka jua huko ni kufa,anza nae.

Asepe zake tu! Nchi haipo salama tena hiyo.
 
Back
Top Bottom