Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,021
Ardhi ina kiu ya damuCHOKO CHOKO ZINAZOANZISHWA MUDA SIO MREFU KINACHOTAFUTWA KWENYE HII ARDHI KITAPATIKANA SOON.
Ardhi ina kiu ya damuCHOKO CHOKO ZINAZOANZISHWA MUDA SIO MREFU KINACHOTAFUTWA KWENYE HII ARDHI KITAPATIKANA SOON.
Mambo ya kizamani ni kumimina risasi kwenye daladala na kuua raiya wakati wa kufanikisha wizi wa kura uliokua unasisiwa na DED na policcm.Acha mambo ya Kizamani Uchaguzi ulishaisha na tuheshimu maamuzi ya wana Kinondoni. [HASHTAG]#KinondoniDecided[/HASHTAG]. Kila Uchaguzi mkidondokea pua mnasingizia kuibiwa kura.
Sherehekea ushindi huu wa damu.Hilo la box la kura eti kuibiwa ni uzushi mkubwa mno....Chadema hiki hakikukosi kutunga uongo kila siku...box liibiwe ili iwe nini??? Tanzania hii hatujafikia hukokuiba box la kura....
Na hiyo siku ikifika huta jua.Hilo la box la kura eti kuibiwa ni uzushi mkubwa mno....Chadema hiki hakikukosi kutunga uongo kila siku...box liibiwe ili iwe nini??? Tanzania hii hatujafikia hukokuiba box la kura....
Hizo habari zimezagaa wp tupe chanzo maana tumemuona asbh akiripoti matokeo ya uchaguzi kinondoniHabari za siku wanajukwaa.
Kuna tetesi zimezagaa mitaani kuwa ripota wa ITV Spencer Lameck amepigwa stop kufanya matangazo kwenye TV baada ya kuripoti kuibwa kwa sanduku la kura na kurejeshwa muda mfupi ktk kituo cha Idrisa kinondoni hapo jana.
Inadaiwa waziri wa habari Dr Mwakyembe na TCRA wameiambia ITV wachague kati ya kuendelea kurusha habari au wamfukuze kazi Spencer. Habari zinadai ITV wamechagua kumfukuza Spencer.
Pia wachunguzi wamedai huenda Spencer akatafutiwa kazi nyingine IPP ambayo haitamfanya tena kusikika wala kuonekana ktk tasnia ya habari.
Awe mpumbavu mara ngapi mkuuKama ni kweli Mwakyembe atakua mpumbavu kabisa
Tangia hapo mwakyembe ni mpuuzi kuwahi kutokea.tangu aje kwenye mkutano na roma mkatoric ?Kama ni kweli Mwakyembe atakua mpumbavu kabisa
Vyeo ni Dhamana 'Tell me who is Going to Have an Endless Life in this World'Tangia hapo mwakyembe ni mpuuzi kuwahi kutokea.tangu aje kwenye mkutano na roma mkatoric ?
Ni lini alishawahi kuwa mweremu na ngozi yake ya kenge.Kama ni kweli Mwakyembe atakua mpumbavu kabisa
Ndio Ccm yetu hiyo.. Yaani waibe halafu alie muona mwizi afukuzwe kazi... ShameeeeHabari za siku wanajukwaa.
Kuna tetesi zimezagaa mitaani kuwa ripota wa ITV Spencer Lameck amepigwa stop kufanya matangazo kwenye TV baada ya kuripoti kuibwa kwa sanduku la kura na kurejeshwa muda mfupi ktk kituo cha Idrisa kinondoni hapo jana.
Inadaiwa waziri wa habari Dr Mwakyembe na TCRA wameiambia ITV wachague kati ya kuendelea kurusha habari au wamfukuze kazi Spencer. Habari zinadai ITV wamechagua kumfukuza Spencer.
Pia wachunguzi wamedai huenda Spencer akatafutiwa kazi nyingine IPP ambayo haitamfanya tena kusikika wala kuonekana ktk tasnia ya habari.
Ndo umenunua tv jana nini....mbona 2015 ilikua ivo ivo sam mahela anaingia hadi kwenye vyumba na kuhoji wasimamizi??Nilishangaa imekuwaje ITV wakarusha matukio ya jana