Mtangazaji Akiwa Maombezini

Mtangazaji Akiwa Maombezini

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
24991490_1922923607722468_406198585433368982_n.jpg
 
sidhani KAMA KUNA MAOMBI YA KWELI SIKU HIZI
Hii tabia ya watu kupigana picha wakati mtu yupo kwenye maombi sijui WATANZANIA Wameitoa wapi, WANAKERA Sana
 
Hii tabia ya watu kupigana picha wakati mtu yupo kwenye maombi sijui WATANZANIA Wameitoa wapi, WANAKERA Sana
yaani wanaboa kweli ningependa makanisa wasiishie kusema watu wazime simu zao bali wangezuia na kuingia na simu kwenye nyumba za ibada huenda ingesaidia
 
Moja ya watangazaji bora kabisa Tanzania hasa kwenye scene Jamaa anapresent vzr sana alitakiwa awe BBC au CNN au hata aljazeera..

Jamaa yuko vzr sana anavyotangaza
 
Nikiripoti kutoka eneo hili la Jf ambapo ni kijiwe cha wanahabari mimiii SAM MAHELA.....itv[emoji23]
 
Moja ya watangazaji bora kabisa Tanzania hasa kwenye scene Jamaa anapresent vzr sana alitakiwa awe BBC au CNN au hata aljazeera..

Jamaa yuko vzr sana anavyotangaza
hapa umenena kwenye scene yupo vizuri
 
mi huwa sipendi wanavyojipiga scrub utafikiri sijui nini, watangazaji wa itv wana vituko sana, sijui hawajui kuvaa nakutokelezea. halafu wanaongoza kuvaa mashati ya kuulamba utafikiri wanaimba kwaya.
 
Back
Top Bottom