Mtangazaji Akiwa Maombezini

Mtangazaji Akiwa Maombezini

Habari njema ni kwamba, mfalme wa jamuhuri ya viwanda atajengewa uwanja wa kutua mpira pale kanda ya kati na mfalme wa jamuhuri ya Moroko!
 
yaani wanaboa kweli ningependa makanisa wasiishie kusema watu wazime simu zao bali wangezuia na kuingia na simu kwenye nyumba za ibada huenda ingesaidia
ubaya wake ni nini? Kupiga picha kanisani kuna ubaya gani. Mnaficha nini
 
mi huwa sipendi wanavyojipiga scrub utafikiri sijui nini, watangazaji wa itv wana vituko sana, sijui hawajui kuvaa nakutokelezea. halafu wanaongoza kuvaa mashati ya kuulamba utafikiri wanaimba kwaya.
Yaaani sijui hawaambiwi
 
yaani wanaboa kweli ningependa makanisa wasiishie kusema watu wazime simu zao bali wangezuia na kuingia na simu kwenye nyumba za ibada huenda ingesaidia
Anaanzaje kuzuia simu wakat haijaandkwa kwenye bible kwa sasa na vimin ruksa chasingi utoe sadaka kubwa.
 
Back
Top Bottom