Mtanganyika anayempinga Lissu kwenye hoja za muungano ana matatizo

Kama Lissu anaipigania Tanganyika iliyomezwa anakosa gani? Where is Tanganyika?

Kwanini hakuna mamlaka ya bara inayoweza kuvuka bahari huku mamlaka ya Zanzibar inaweza kuvuka bahari?

Watanganyika wenye vyeo acheni ujinga, wajukuu zenu watasema wazee wetu walikuwa matahira kwa mienendo yenu.

Fedha zinaishia, vyeo vinapita.
Lissu ninatofautiana Naye mengi ila kwenye suala la muungano tunashea roho
 
Tumelogwa siyo bure. Na bado vijamaa vinataka ajira 50/50 kwenye Wizara za Muungano. Eti BOT ni yao, wamejipata sana tukae chonjo
Kwanza ni muungano gani wa kulazimisha a, kuna huu uchafu unaitwa mwenge na muungano sitaki kabisa maccm yanalazimisha Mambo ya kijingajinga tu
 
Back
Top Bottom