Mtandao wa Youtube upo down Tanzania?

shida ni kuzaliwa mweusi, trust me....haya mambo hayapo kwa watu weupe.......
north korea wanafungia mitandao ya west ila wana mitandao yao
lakin ngozi ya taa call wanafunga tu,
#nikipataheranaendaulaya
 
Muda wote browser yangu ya Edge nikifungua inakuwa connected na VPN automatic.

Chrome ndio nilikuwa naitumia kutestia server kama ziko down
Chrome jau sana , mi niko brave
 
Afu saizi na Airtel wamekuwa wahuni kama Wahuni anaowapigia kelele Polepole. Wanapunguza speed kabla hata hujafikia maximum data usage
hii vita yako na airtel haiwezi kuisha ... Mwl.RCT sjui hua anafanyaje ila yeye anasema hakutani na cap
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…