Bado hatujaamua kufanya umeme kama chanzo cha mapato,tulikuwa na tatizo ili kwenye mawasiliano ya simu hadi tulipo ruhusu ushindani ufanisi umeongezeka mno,nazani shida ya u monopoly kwa Tanesco waitaji tiba!zaidi ya yote tufanye umeme uwe chanzo cha mapato na tufanye biashara tutausambaza sio tuu tz bali hata nje ya nchi jilani,otherwise itaendelea kuwa moja ya sera za vyama wakati wa kuomba kura as if unatolewa bure kumbe unalipia kama bidhaa au huduma nyingine!
Mrembo faiza tafadhari punguza chuki zako kwa Nyerere aliyoyafanya yanatosha sana kwa kipindi hicho na ukiangalia kesha kua marehemu mwache apumzike huko aliko ni hayo tu mrembo. Kidumu Chama cha mapindunzi
Nyinyi ndio mnatakiwa muwache kusifia uongo. Ni nini alichokifanya kinachofaa kusifiwa. Alichoweza ni kututoa toka wasafirishaji wa kwanza wa mazao ya kilimo katika Afrika mpaka kuwa omba omba wa mwisho duniani kwa miaka 7 tu ya mwanzao ya uongozi wake. Kaiwacha nchi na watu wake hoi bin taabani kwa miaka yake 24 aliyoiongoza kidikteta.
Kikwete Juu zaidi. Fikiri, 10% hiyo ni kuanzia Mkoloni, Nyerere miaka 24, Mwinyi 10, Mkapa 10 Kikwete pekee kafanya asilimia 26 kwa miaka 8 tu. Waliomtangulia, jumla ya miaka 44 hata nusu yake wameshindwa kufanya halafu mijitu humu "nyerere, nyerere, nyerere" hata haya haioni wala vibaya haijui. Jamani hii katiba ibadilishwe haraka Kikwete aendelee japo kwa miaka 10 mingine. Anachapa kazi si mchezo, kila kitu kafanya zaidi ya wote waliomtangulia kwa maendeleo ya nchi.
Hivi wamarekaniwamekuwa JK siku hizi?Wajapan na wengine waliomwaga hela..tayari siku hizi wamekuwa CCM?Unayo shida kujidanganya hivi..?hivi mnashangilia nchi kufilisiwa na uongo mwingine..hujui kuwa hazina ikizidi kauka,NSSF nayo ikikauka wavaa vibakuli..na kutembea na ndizi watakosa sana udugu wa long time friends km Mnubi DAU? Mnafurahia nchi kukauka wakati mnajua kuwa Viwavi jeshi vingi vya mazao ya walio haramu ni nyie...
leo sijakuona kabisa kwenye mijadala ya kule kalenga. au uko sehemu unapata mbege? kwa taarifa yako mmeshinda kule kalenga kwa kishindo >80%! Hongereni!
Hivi wamarekaniwamekuwa JK siku hizi?Wajapan na wengine waliomwaga hela..tayari siku hizi wamekuwa CCM?Unayo shida kujidanganya hivi..?hivi mnashangilia nchi kufilisiwa na uongo mwingine..hujui kuwa hazina ikizidi kauka,NSSF nayo ikikauka wavaa vibakuli..na kutembea na ndizi watakosa sana udugu wa long time friends km Mnubi DAU? Mnafurahia nchi kukauka wakati mnajua kuwa Viwavi jeshi vingi vya mazao ya walio haramu ni nyie...
Kwani wakati wa Nyerere, Mkapa na Kikwete kulikuwa hakuna Wamerekani? Hujui Tulivyoketewa unga wa "yanga" na wamerekani? kutunusuru kufa wakati wa Nyerere? Kama hulijui hilo, pole sana. Jifunze kuandika.
Fikiri, 10% hiyo ni kuanzia Mkoloni, Nyerere miaka 24, Mwinyi 10, Mkapa
10 Kikwete pekee kafanya asilimia 26 kwa miaka 8 tu. Waliomtangulia,
jumla ya miaka 44 hata nusu yake wameshindwa kufanya halafu mijitu humu
"nyerere, nyerere, nyerere" hata haya haioni wala vibaya haijui.
Jamani hii katiba ibadilishwe haraka Kikwete aendelee japo kwa miaka 10
mingine. Anachapa kazi si mchezo, kila kitu kafanya zaidi ya wote
waliomtangulia kwa maendeleo ya nchi.
Swala la msingi ni hiyo 36% ni UONGO. Toa evidence kama ni kweli. Huwezi KUDAI tu ni 36% wanapata umeme na ikawa ni UKWELI. Toa rejea ya utafiti uliothibitisha hilo ili na sisi tuuangalie tujiridhishe.
This is a joke!! Baada ya miaka zaidi ya 50 ya uhuru unachekelea na kuja hapa mbio eti watanzania 36% ndo wanatumia umeme? tena wa mgao? Ningeelewa kama huyo Prof wa ''gesi na matusi kwa waTZ'' (maana toka apewe wizara yeye ni gesi tuu na kutusi waTZ kwamba ni wavivu wa kufikiri na hawana mitaji ya kuwekeza) angetueleza ana mikakati gani ya kupambana na mikataba feki na ya kifisadi ya makampuni ya kuzalisha umeme hewa (IPTL na mengine) yanayoikamua TANESCO (ambayo inahamishia mzigo kwa mlala hoi) mabilioni kila kukucha; atueleze yale mabilioni yaliyochotwa kinyemela majuzi kutoka kwenye akaunti ya mfuko maalumu iliyoko benki kuu (Escrow account) zimekwenda wapi?; atueleze ile kauli mbiu yake kwamba mgao wa umeme utabaki historia alikuwa anamdanganya nani?
Unajuwa ni MW ngapi za umeme zipo njiani zinajengwa sasa hivi? Tazama picha kama kusoma huwezi:
Wentworth Resources reported that on Thursday, 8 November 2012, His Excellency Jaykaya Kikwete, President of the United Republic of Tanzania, laid the foundation stone at the Kinyerezi Gas Receiving Station for the start of construction of the Mnazi Bay to Dar es Salaam Gas Pipeline Project. The 532 km pipeline and its associated facilities are expected to be completed and commissioned in approx. 18 months. Wentworth and its Mnazi Bay partners are in the process of finalizing a gas sales agreement to supply 80 mmcf/day of gas to this pipeline and have been asked by TPDC to increase this amount to 200 mmcf/day as soon as practicable.
Wentworth Resources has also announced that the Mnazi Bay Concession partners are preparing to award a contract to acquire approx. 210 sq km of offshore 3D seismic over the Mnazi Bay Concession. The work to acquire new seismic data is expected to start before the end of the year. The acquired data will derisk currently existing offshore leads and map potential extensions to the offshore discoveries made by BG Group and Ophir in the adjacent Offshore Block 1. The purpose of acquiring the new 3D seismic data, and the ongoing work to fully reassess all existing concession geology and geophysics data, is to prepare for upcoming development and exploration drilling.
gas-fired_power_plant. From iOL. The Development Bank of Southern Africa is lending Tanzania $314 million for two power plants, South Africa's treasury said ...
Swala la msingi ni hiyo 36% ni UONGO. Toa evidence kama ni kweli. Huwezi KUDAI tu ni 36% wanapata umeme na ikawa ni UKWELI. Toa rejea ya utafiti uliothibitisha hilo ili na sisi tuuangalie tujiridhishe.
faizaFox swala la utawala wa nchi sio umeme peke yake!!
Nchi inateketea kwa utawala wa kanjanja uanayemsifia Kikwete;
EPA wakaiba akasema warudushe awasamee, mafisadi ndio watawala sasa! Richmond no caplity wanatesa mitaani, TANESCO inalipa capacity charge Tshs 152,000,000/" kila siku sijui hadi lini masikini TZ???
Ongeza Mikataba ya IPTL juzi wamechota USD $ 250m from the Escrow AACT, mtafilisi nchi hadi lini???
Juzi CAG kagundua BoT zimechotwa USD $ 300m. Waziri wa sasa hana majibu!! Kumbuka Waziri ambaye angejibu ni marehemu, connect the dots-----
Je haya majanga hadi lini???
Vijana wetu ni mapunda kusafilisha madawa ya kulevya,
Wanafia magerezani nje ya nchi
!! Wanyama mbugani wanakwisha mnasafilisha hadi wazima, wewe unachekelea tu!!
.Tembo wanakwisha hadi wazungu
wanastuka!!
Madini yanachotwa tunapewa 3%
Gess sijajua tunalipwa nini maana inapakiliwa baharini, tuhurumie WaTZ utawala huu umechoka na kushindwa!! Rushwa kila kona, wizi, mauwaji dhuluma, nini hii!!
Wacheni kujifariji na Data za uongo!!
Ona vizuri kwamba mwishoni hiyo article inasema Tanzania ina lengo la kufikisha upatikanaji wa umeme kwa kiasi cha 25% ya watu wote ifikapo 2025. Sasa hizo porojo kwamba tayari tumeshafikisha 36% zinakufaa wewe na huyo waziri wako tu, sisi tumezishtukia tayari.
===================================================== Tanzania: A young REA approach
Tanzania has a relatively low level of electrification. In 2010 only 10% of a population of 37 million people had access to electricity. In rural areas where 75% of the population live, this rate is even lower with only 2% of the population having access to electricity (Msofe, 2009).
In order to improve this situation a National Energy Policy (NEP) was launched in 2003 which among other components foresees the creation of a rural electrification agency in Tanzania. Consequently, the REA was established in Tanzania in 2005 but only became fully operational by 2007. The REA is an autonomous body whose activities are supervised by the Ministry of Energy and Minerals (REA, 2011; Uisso, 2009). It is governed by a rural electrification board (REB) consisting of members of different ministries engaged in the rural electrification process and other institutions, e.g. civil society organizations, consumer representatives, donor community etc. (REA, 2011). In addition to the REA a rural electrification fund (REF) was established to manage the financial funds dedicated to rural electrification. Both institutions are financed through government budgetary allocations, levies on electricity as well as donor funding, e.g. from the World Bank and SIDA (Msofe, 2009; Uisso, 2009).
The REA/REF in cooperation with the Tanzanian national utility TANESCO, who acts as the project developer, has so far implemented a variety of projects including on- as well as off-grid installations for rural electrification. Thereby it provides funding to TANESCO to connect previously unconnected areas as well as finances research and development for the innovation of low cost distribution designs (Uisso, 2009). Additionally to its classical role of providing financial means to undertake projects the REA also provides trainings and capacity building expertise for project developers that are engaged in rural electrification activities as well as providing technical expertise and assistance in setting up collaborations between project developers (Msofe, 2009).
Complementary to the REA the Tanzania Energy Development and Access Project was launched. The latter is mainly financed through funds provided by the World Bank and the GEF and is comprised of an on-grid as well as off-grid component. However, the on-grid component does involve the extension of the grid to provide increased energy access to rural populations but focuses on strengthening the existing grid and improving the efficiency of TANESCO. The off-grid component which focuses on the provision of funding for renewable energy off-grid installations mainly aims at increasing access to electricity in rural and peri-urban areas of the country (Msofe, 2009).
In undertaking these activities the government aims at achieving its target of providing access to electricity to 25% of the population by 2025 (Free Energy Foundation, n.d.).
Unajuwa ni MW ngapi za umeme zipo njiani zinajengwa sasa hivi? Tazama picha kama kusoma huwezi:
Wentworth Resources reported that on Thursday, 8 November 2012, His Excellency Jaykaya Kikwete, President of the United Republic of Tanzania, laid the foundation stone at the Kinyerezi Gas Receiving Station for the start of construction of the Mnazi Bay to Dar es Salaam Gas Pipeline Project. The 532 km pipeline and its associated facilities are expected to be completed and commissioned in approx. 18 months. Wentworth and its Mnazi Bay partners are in the process of finalizing a gas sales agreement to supply 80 mmcf/day of gas to this pipeline and have been asked by TPDC to increase this amount to 200 mmcf/day as soon as practicable.
Wentworth Resources has also announced that the Mnazi Bay Concession partners are preparing to award a contract to acquire approx. 210 sq km of offshore 3D seismic over the Mnazi Bay Concession. The work to acquire new seismic data is expected to start before the end of the year. The acquired data will derisk currently existing offshore leads and map potential extensions to the offshore discoveries made by BG Group and Ophir in the adjacent Offshore Block 1. The purpose of acquiring the new 3D seismic data, and the ongoing work to fully reassess all existing concession geology and geophysics data, is to prepare for upcoming development and exploration drilling.
gas-fired_power_plant. From iOL. The Development Bank of Southern Africa is lending Tanzania $314 million for two power plants, South Africa's treasury said ...
Jibu hoja acha bla bla na kutuwekea vipicha na maelezo ambayo for the past 50 plus years tumeyasikia. Hizo bla blaa na vipicha (kama za Prof ''Muongo'') haziwezi kutuletea umeme au kuondoa mgao, kwa maneno unaweza hata kuzalisha megawatt 500,000!! kwa maneno matupu (kama ya Prof..) unaweza kuondoa mgao wa umeme Tanzania!!
Fikiri, 10% hiyo ni kuanzia Mkoloni, Nyerere miaka 24, Mwinyi 10, Mkapa 10 Kikwete pekee kafanya asilimia 26 kwa miaka 8 tu. Waliomtangulia, jumla ya miaka 44 hata nusu yake wameshindwa kufanya halafu mijitu humu "nyerere, nyerere, nyerere" hata haya haioni wala vibaya haijui.
Jamani hii katiba ibadilishwe haraka Kikwete aendelee japo kwa miaka 10 mingine. Anachapa kazi si mchezo, kila kitu kafanya zaidi ya wote waliomtangulia kwa maendeleo ya nchi.
Sema kuanzia mkoloni CCM ilikuwa imelala, katika miaka 8, CDM imekuwa na nguvu ya kuipeleka puta CCm ndo ina mpango mkakati wa kusambaza umeme kwa hizo asilimia. Umeme wenyewe una-quality mbaya na siyo reliable!
Ombea CDm iingie madarakani, upatikanaji wa maji salama utakuwa 80% kwa miaka 5, nyumba za nyasi hutaziona labda ziwe kwa ajili ya katika hoteli za kitalii siyo kuishi. Matibabu na elimu Bure kwa watanzania wote, kodi za vifaa vya ujenzi kushuka na rushwa kutokomea. Petrol na bidhaa zake zitashuka kwa 50%. nk.
Fikiri, 10% hiyo ni kuanzia Mkoloni, Nyerere miaka 24, Mwinyi 10, Mkapa 10 Kikwete pekee kafanya asilimia 26 kwa miaka 8 tu. Waliomtangulia, jumla ya miaka 44 hata nusu yake wameshindwa kufanya halafu mijitu humu "nyerere, nyerere, nyerere" hata haya haioni wala vibaya haijui.
Jamani hii katiba ibadilishwe haraka Kikwete aendelee japo kwa miaka 10 mingine. Anachapa kazi si mchezo, kila kitu kafanya zaidi ya wote waliomtangulia kwa maendeleo ya nchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.