KIJOME
JF-Expert Member
- Jun 7, 2012
- 3,084
- 733
Nawachukia masisiem kuliko,yaani huyu profesa muongo ni balaa,uongo wake apeleke huko huko kwa wagonga meza wenzie asituletee watu wenye akili timamu,haiwezekank hapo mbezi kwa msuguri umeme hamna seuze kusambaza hata nguzo tu basi leo hii useme 36% wana umeme,shame!!!Swala la msingi ni hiyo 36% ni UONGO. Toa evidence kama ni kweli. Huwezi KUDAI tu ni 36% wanapata umeme na ikawa ni UKWELI. Toa rejea ya utafiti uliothibitisha hilo ili na sisi tuuangalie tujiridhishe.