Mtandao wa Twitter si salama Tanzania kufanya harakati za kuikosoa serikali ya Magufuli

Chifyono

JF-Expert Member
Oct 16, 2017
921
1,658
Kwa nyakati tulizopo sasa, uwanja wa siasa na harakati nilazima ufanywe kwa kutumia mitandao ya kijamii, hii ni kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia kukua kwa kasi

Hali imekuwa tofauti hapa nchini Tanzania ambapo wanaharakati wengi wanaofanya uchambuzi wa mambo mengi kisiasa na kukosoa au kupinga serikali ya Magufuli huishia kutekwa, kuuliwa na wengine kupotezwa kimyakimya

Mtandao wa Twitter hapa nchini si salama kwa watumiaji wake
Watumiaji wa Twitter hawana pa kujificha, serikali imekuwa ikiwabaini wakosoaji wa serikali na rais kisha kuwateka, kuwatesa na kuwaua

Nitumie fursa hii kuwakumbusha vijana wenzangu tunaotamani kuiona Tanzania ya democracy na maendeleo kusoma alama za nyakati, Jiwe amedhamiria kumaliza wakosoaji wote na wanaojiita wanaharakati
Kiusalama, Twitter haitufai kwa sasa
 
Propaganda hizi inaelekea ni mkakati wa kisiasa wa chama fulani cha kisiasa pamoja na outcasts ndani ya CCM
 
Kwa nyakati tulizopo sasa, uwanja wa siasa na harakati nilazima ufanywe kwa kutumia mitandao ya kijamii, hii ni kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia kukua kwa kasi

Hali imekuwa tofauti hapa nchini Tanzania ambapo wanaharakati wengi wanaofanya uchambuzi wa mambo mengi kisiasa na kukosoa au kupinga serikali ya Magufuli huishia kutekwa, kuuliwa na wengine kupotezwa kimyakimya

Mtandao wa Twitter hapa nchini si salama kwa watumiaji wake
Watumiaji wa Twitter hawana pa kujificha, serikali imekuwa ikiwabaini wakosoaji wa serikali na rais kisha kuwateka, kuwatesa na kuwaua

Nitumie fursa hii kuwakumbusha vijana wenzangu tunaotamani kuiona Tanzania ya democracy na maendeleo kusoma alama za nyakati, Jiwe amedhamiria kumaliza wakosoaji wote na wanaojiita wanaharakati
Kiusalama, Twitter haitufai kwa sasa
Mtandao wa Tweeter si salama kwa Mimi na wewe tusiojua tecnolojia na tunaojianika ovyo ovyo.

Serikali imetumia muda na gharama nyingi sana kumtafuta Kigogo, Lakini mpaka saizi Kigogo ana Tweet tu huko.

Hao vijana wote waliokamatwa, wamekamatwa kinguvu kwa kuhisiwa kuwa inaonekana wapo Jirani na Kigogo kulingana tweet zao.

Ila Kitecnolojia serikali imemshindwa kabisa Kigogo na kampani yake...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna utofauti kati ya wakosoaji na watukanaji! Mimi mwenyewe siwezi mvumilia mtukanaji, hata humu jf ukitukana na kutoa lugha chafu ni dhahiri utapigwa ban! Hao vijana waliotekwa ni mabingwa wa kumtukana na kumdhihaki raisi, Hii haikubaliki! Acha wapate walichopanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nyakati tulizopo sasa, uwanja wa siasa na harakati nilazima ufanywe kwa kutumia mitandao ya kijamii, hii ni kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia kukua kwa kasi

Hali imekuwa tofauti hapa nchini Tanzania ambapo wanaharakati wengi wanaofanya uchambuzi wa mambo mengi kisiasa na kukosoa au kupinga serikali ya Magufuli huishia kutekwa, kuuliwa na wengine kupotezwa kimyakimya

Mtandao wa Twitter hapa nchini si salama kwa watumiaji wake
Watumiaji wa Twitter hawana pa kujificha, serikali imekuwa ikiwabaini wakosoaji wa serikali na rais kisha kuwateka, kuwatesa na kuwaua

Nitumie fursa hii kuwakumbusha vijana wenzangu tunaotamani kuiona Tanzania ya democracy na maendeleo kusoma alama za nyakati, Jiwe amedhamiria kumaliza wakosoaji wote na wanaojiita wanaharakati
Kiusalama, Twitter haitufai kwa sasa
Yupo kigogo 2014 anatamba
 
Back
Top Bottom