Wiki ya 2 sasa tangu niombe Tigopesa statement wakasema watatuma kwenye mail baada ya 72 hours,
Nikawauliza masaa 72 mbona ni Mengi sana?
Kwa statement ya Januari hadi October tu?!
Sasa hayo masaa 72 yaliisha tangu wiki ilopita hadi leo zaidi ya wiki majibu hakuna !
Kwa bahati tulikuwa tunahitaji na line ya Airtel, Airtel baada baada ya 72 majibu yalipatikana lakini walikataa kutuma kwenye mail hadi mtu uyafate eti!
Kwa ujumla hii mitandao ya simu ina matatizo sana!
Yaani kupata statement tu insshindikana?
Eti masaa 72


basi maendeleo tutasubiri sana aisee
Tigo mnatuchosha!