Mtandao wa TANePS haupatikani nini Tatizo

Kurunzi

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
10,175
Reaction score
11,574
Mtandao wa Serekali TANepS hapatilani toka jana, mtandao huu ambao tender zote za serekali hupatikana kupitia mtandao huu imekuwa kero kubwa sana kwasababu wakandara na suppliers hutumia mtandao huu kupakuwa na kutuma tenda zao hali inayopelekea kuleta hofu.

Kinacho nishangaza ni ukimya wa tasisi usika kuka kimya bila kutolea ufafanuzi jambo hili, Juhudi zangu za kuwapigia kwa kutumia no za huduma kwa wateja hazikuzaa matumda baada ya ya namba hizo kutokupokelewa
 
Matengenezo ya mtandao tu ondoa shaka juu ya hilo watarudisha tu....
 
Mtandao wa Serekali TANepS hapatilani toka jana, mtandao huu ambao tender zote za serekali hupatikana kupitia mtandao huu imekuwa kero kubwa sana kwasababu wakandara na suppliers hutumia mtandao huu kupakuwa na kutuma tenda zao hali inayopelekea kuleta hofu.

Kinacho nishangaza ni ukimya wa tasisi usika kuka kimya bila kutolea ufafanuzi jambo hili, Juhudi zangu za kuwapigia kwa kutumia no za huduma kwa wateja hazikuzaa matumda baada ya ya namba hizo kutokupokelewa
Huu mtandao ni kero sana, watu wamekuwa wakilalamuka sana
Na juzi nilisikia MF anasema kuhusu kikomo cha bei kwa bidhaa na huduma, nikachoka kabisa

Nadhani hili la kikomo cha bei liliwahi kufanyika hapo nyuma, sijui nini kilitokea likafutwa, sasa naona linarudi tena.

Najiuliza, ivi wataalamu wa manunuzi huwa wanashirikishwa katika maboresho ya sheria hii ya manunuzi!? naona mpaka sasa tumefanikiwa kwa kiwango kidogo katika kutekeleza sheria hii ya manunuzi.
 
Back
Top Bottom