Mtandao wa SUA, SUASIS haufunguki kwa network ya TTCL

Mtandao wa SUA, SUASIS haufunguki kwa network ya TTCL

h120

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
2,545
Reaction score
3,370
Mtandao wa kufanyia maombi wa chuo cha Sokoine, unagoma kwa network ya TTCL, nimethibisha hili, kwa kujaribu mara kadhaa bila mafanikio, lakini watu wa mitandao mingine kama voda, tigo wana access vizuri.

wenye mtandao wa TTCL mnaweza jaribu mlete mrejesho link naweka chini.

http://suasis.suanet.ac.tz:8389/index.php/registration
 
Capture.JPG
Capture.JPG
 
Back
Top Bottom