Avatar Myg
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 675
- 118
Kijana wa Kihaya aishiye huko Marekani
Du...this should not be taken as a joke, but with due regard!!
Kwanini mhaya?

Kijana wa Kihaya aishiye huko Marekani alimpigia simu mama yake. Maongezi yao yalikuwa kama ifuatavyo: Kijana: Mama, nina virusi vya UKIMWI! Mama: Mwanangu, ninakusihi, ninakusihi, ninakusihi sana, usirudi nyumbani kabisa. Kijana: Kwa nini mama? Mama: Endapo utarudi nyumbani, mkeo pia ataathirika. Mkeo akiathirika atamwathiri pia mdogo wako. Mdogo wako akishaathirika atamwathiri pia msichana wetu wa kazi. Ujuwe mwanangu, msichana wetu wa kazi naye atamwathiri pia baba yako. Baba yako naye atamwathiri mdogo wangu, mdogo wangu atamwathiri mumewe ambaye naye ataniathiri mimi pia. Mimi nikishaathirika nitamwathiri mtunza bustani wetu. Mtunza bustani wetu akishaukwaa atamwambukiza pia mdogo wako wa kike. Mdogo wako akishaupata tu, ujuwe kijiji kizima kimeupata! Mwanangu, kwa jina la Mungu, tafadhali, tafadhali kiokoe kijiji chetu. Ninakusihi tena mwanangu, USIRUDI TENA NYUMBANI!
una ujasiri na akili kama za BATA za kujialishia wasiwasi
Kwanini mhaya?
Hahahahahaha hii ni joke tu mzee. Ukimwi nomaKwanini mhaya?
Ni joke hiyo lakini ndivyo ilivyo katika maisha yetu watu wote hao wakahapo pamoja hayo utokea hata kama si chen:ballchain: yote hiyo ila Baba na mtoto wake wa kiume wakiwa na Housegirl wanachangia, Baba, mkewe akiwa na mdogo wake baba anakula wote n.k. hayo yamo tuwe makini sote tuwapo na familia hizo wengi wanaangamia kwa kitu cha kati kitamu ila ukila vya pembeni vichungu aaah hupo mpaka mkombozi arudi atakukuta!