Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,936
- 3,940
kuna wakati nilikuwa nikipata halotel gb 10 kuanzia saa sita hadi saa kumi na mbili, ila naona wanazingua siku hizi, ni mtandao upi wenye huduma kama hii.
duh kwa hyo kwa sasa hamna?Nadhani tusubirie huenda ukaja mtandao mpya wa hivyo
hakunaduh kwa hyo kwa sasa hamna?
Subiri mtandao mpya wa Azam mkuu.duh kwa hyo kwa sasa hamna?
ok mkuu,Subiri mtandao mpya wa Azam mkuu.