Cheki ZantelNaomba msaada wa kufahamishwa mtandao upi wa simu una bundles nzuri na za bei nafuu?
Mimi uwa napenda sana kudownload movies, series nk, sasa tangu voda waondoe kile kifushi cha masaa 24 kwa sh 1000 bila kikomo kwa sasa nimekwama sijui nitumie mtandao gani wa bundles zitakazonifaaa.
Msaada please.
Ninapataje hiyokuna bundle za airtel 1gb ni 1000 ndo nafuu kwa sasa. lkn kama wewe ni addict kuna njia za vichaka kwa 10000 unlimited per moon.
Ndo inakuaje iyo mkuukuna bundle za airtel 1gb ni 1000 ndo nafuu kwa sasa. lkn kama wewe ni addict kuna njia za vichaka kwa 10000 unlimited per moon.
Ninapataje hiyo
wapo wanaotoa ila haya mambo kwa sasa ni kimyakimya.Ndo inakuaje iyo mkuu
halotel ni kboko cku nyingne napiga mpk gb15 kwe kile kifurush cha usiku cha gb 18,nadownload series zangu naangalia mpk zkisha napakua tena..tgo waznguz tukama upo nje ya dar cheki na smart kwanza kama wapo eneo lako wana unlimited ya siku kwa 1000 na mwezi 20,000 na ni unlimited ya kweli haishuki speed,
kama upo dar angalia vifurushi vya usiku cheki mtandao utakaokupa speed nzuri usiku kati ya halotel na airtel, na kiasi fulani tigo.
-halotel utapata gb 18 usiku mmoja kwa shilingi 1500
-Airtel utapata gb 10 kwa shilingi 600
-tigo gb 4 kwa sh 1500 ila ni usiku miwili
tumia kwanza airtel na halotel halafu angalia unamaliza gb ngapi kama ni chini ya 4 kwa siku moja then 4g ya tigo gb4 zinaisha kwa siku.
pia airtel wana vocha za chuo ambazo hata kama mtu sio mwanachuo anaweza nunua utapata gb 1.2 kwa sh 600 tu nenda cbe zipo kibao.
halotel/voda/tigo unaweza pia kupata vifurushi vya chuo ila itabidi usajili line.
pia angalia tigo kwenye menu yao ya offer maalum kunakuwa na vifurushi vizuri sana kutegemea na eneo ulipo.
Halotel poa sanaNaomba msaada wa kufahamishwa mtandao upi wa simu una bundles nzuri na za bei nafuu?
Mimi uwa napenda sana kudownload movies, series nk, sasa tangu voda waondoe kile kifushi cha masaa 24 kwa sh 1000 bila kikomo kwa sasa nimekwama sijui nitumie mtandao gani wa bundles zitakazonifaaa.
Msaada please.
kwangu mimi haivuki 300KBps usiku, wanabana speedhalotel ni kboko cku nyingne napiga mpk gb15 kwe kile kifurush cha usiku cha gb 18,nadownload series zangu naangalia mpk zkisha napakua tena..tgo waznguz tu
Kaka sorry lain zao zinapatikana huku mitaani kwetu au mpka ofisin kwao? Na vp kuhusu vocha?kama upo nje ya dar cheki na smart kwanza kama wapo eneo lako wana unlimited ya siku kwa 1000 na mwezi 20,000 na ni unlimited ya kweli haishuki speed,
kama upo dar angalia vifurushi vya usiku cheki mtandao utakaokupa speed nzuri usiku kati ya halotel na airtel, na kiasi fulani tigo.
-halotel utapata gb 18 usiku mmoja kwa shilingi 1500
-Airtel utapata gb 10 kwa shilingi 600
-tigo gb 4 kwa sh 1500 ila ni usiku miwili
tumia kwanza airtel na halotel halafu angalia unamaliza gb ngapi kama ni chini ya 4 kwa siku moja then 4g ya tigo gb4 zinaisha kwa siku.
pia airtel wana vocha za chuo ambazo hata kama mtu sio mwanachuo anaweza nunua utapata gb 1.2 kwa sh 600 tu nenda cbe zipo kibao.
halotel/voda/tigo unaweza pia kupata vifurushi vya chuo ila itabidi usajili line.
pia angalia tigo kwenye menu yao ya offer maalum kunakuwa na vifurushi vizuri sana kutegemea na eneo ulipo.
vocha unaponunulia luku ndio utakapozipata, na line wanao freelancer wao ila wachache unaweza agizia dar pia ila kwanza hakikisha mtandao upo.Kaka sorry lain zao zinapatikana huku mitaani kwetu au mpka ofisin kwao? Na vp kuhusu vocha?
Fafanua boss...Nenda halotel mkuu, wako vizuri saana sajili university pack yao utaenjoy saana.
Wafanyakazi wa serikali wanapata GB 3 bure.
Angalia lain yako mkuu..huwa nashusha sana games kwa zile gb18 na kwa kasi sana bila kupungua speed.kwangu mimi haivuki 300KBps usiku, wanabana speed