carcinoma
JF-Expert Member
- Mar 5, 2017
- 5,058
- 13,851
Basi mkuu inatokana na sehemu uliyopo...kama upo dar tumia 3G ya voda tigo iko slow...Sasa mkuu hata akinunua simu yenye 4G,wakati sehmu alipo hata E tu nishida hapo tatizo litakuwa limepungua ki vipi?
Kama upo mkoa ambao ttcl inashika kama mbeya dodoma na iringa tumia ttcl hutajuta ina kasi ya ajabu sana