kluger
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,093
- 1,905
Nimekuwa nikitumia halotel hawa jamaa sasa hvi ni bure kabisa kuanzia bei za vifurushi vyao mpk kasi ya mtandao, kifupi wanaboa sana.
Naomba kusikia wenye ufahamu wa mtandao wenye internet ya uhakika, nihamie huko!
TCRA sijui kazi yao nikutafuta watu wanaotukana tu, lakini huduma bora kwa wananchi wao wapo tu.
Thnx