jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,558
- 25,323
Wakuu, bunge letu limekwisha ahirishwa, naamini wengi tunali miss sana, Makinda, Ndugai ooh tunawamiss kiukweli. Tunaimiss miongozo na taarifa, tunamiss naunga mkono mia kwa mia
Pamoja na hivyo, matatizo ya watanzania hayaonyeshi dalili za kupungua, ene wei
Kwakuwa tuna upungufu wa madawati kwenye shule zetu karibu zote Tanzania, napendekeza iandaliwe mechi ya kirafiki ya mpira wa miguu kati ya wabunge wa chama tawala na wabunge wa vyama chagizo (upinzani),
Fedha zitakazokusanywa tununue madawati kwa shule zetu na dawa kwa zahanati vijijini.
Tuwe na mechi mbili kwa mwaka, zipigwe uwanja wa taifa, ziratibiwe na TFF kwa kushirikiana na ofisi ya bunge. Yafuatayo ni baadhi ya masharti kwa mashabiki;
Nia ni kuwaweka watanzania pamoja wajisikie kuwa ni wamoja na wana amani, na wabunge wao hawana uhasama tofauti na wanavyoonekana bungeni wakitetea au kujenga hoja.
Nampendekeza mwamuzi aalikwe waziri mkuu wa kenya Ndugu Raila Odinga! Lines men watoke misri na south africa
Nisiwachoshe! Wadau, naomba mnipangie line up itakuwaje kwa timu zote mbili. Faizafox, @newyork w.malecela, zomba, malaria sugu, ritz, Mwita25, tafahali pangeni line up ya timu ya wabunge wa chama tawala (ccm), nani atakuwa coach, nani watakuwa sub. Chadema, Cuf, Nccr, Tlp tafadhali msianze kugombania nani apange timu, itifaki izingatiwe, pangeni timu hapa, Tajeni coach wenu, tajeni substute. Nami nitautangaza mtanange huo.
N.B. nimeweka bandiko hili kwenye siasa kwasababu ya wabunge (wanasiasa)
Nawasilisha.
Pamoja na hivyo, matatizo ya watanzania hayaonyeshi dalili za kupungua, ene wei
Kwakuwa tuna upungufu wa madawati kwenye shule zetu karibu zote Tanzania, napendekeza iandaliwe mechi ya kirafiki ya mpira wa miguu kati ya wabunge wa chama tawala na wabunge wa vyama chagizo (upinzani),
Fedha zitakazokusanywa tununue madawati kwa shule zetu na dawa kwa zahanati vijijini.
Tuwe na mechi mbili kwa mwaka, zipigwe uwanja wa taifa, ziratibiwe na TFF kwa kushirikiana na ofisi ya bunge. Yafuatayo ni baadhi ya masharti kwa mashabiki;
- Hairuhusiwi kuvaa sare za chama chochote cha siasa.
- Hairuhusiwi kuvaa nguo yenye rangi zinazoweza kujipambanua na rangi za chama.
- Ikumbukwe kuwa wanaocheza ni waheshimiwa, hairuhusiwi kushangilia kwa staili ya kuzomea.
- Hairuhusiwi kupeperusha bendera ya chama chochote kwani hiyo si sehemu ya kampeni.
Nia ni kuwaweka watanzania pamoja wajisikie kuwa ni wamoja na wana amani, na wabunge wao hawana uhasama tofauti na wanavyoonekana bungeni wakitetea au kujenga hoja.
Mgeni rasmi awe rais wa sudani kusini kwa mechi ya kwanza.