Mtanange! Wabunge wa CCM uso kwa uso na wabunge wa upinzani

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,322
Wakuu, bunge letu limekwisha ahirishwa, naamini wengi tunali miss sana, Makinda, Ndugai ooh tunawamiss kiukweli. Tunaimiss miongozo na taarifa, tunamiss ‘naunga mkono mia kwa mia’
Pamoja na hivyo, matatizo ya watanzania hayaonyeshi dalili za kupungua, ene wei
Kwakuwa tuna upungufu wa madawati kwenye shule zetu karibu zote Tanzania, napendekeza iandaliwe mechi ya kirafiki ya mpira wa miguu kati ya wabunge wa chama tawala na wabunge wa vyama chagizo (upinzani),
Fedha zitakazokusanywa tununue madawati kwa shule zetu na dawa kwa zahanati vijijini.

Tuwe na mechi mbili kwa mwaka, zipigwe uwanja wa taifa, ziratibiwe na TFF kwa kushirikiana na ofisi ya bunge. Yafuatayo ni baadhi ya masharti kwa mashabiki;

1. Hairuhusiwi kuvaa sare za chama chochote cha siasa.
2. Hairuhusiwi kuvaa nguo yenye rangi zinazoweza kujipambanua na rangi za chama.
3. Ikumbukwe kuwa wanaocheza ni waheshimiwa, hairuhusiwi kushangilia kwa staili ya kuzomea.
4. Hairuhusiwi kupeperusha bendera ya chama chochote kwani hiyo si sehemu ya kampeni.

Nia ni kuwaweka watanzania pamoja wajisikie kuwa ni wamoja na wana amani, na wabunge wao hawana uhasama tofauti na wanavyoonekana bungeni wakitetea au kujenga hoja.
Mgeni rasmi awe rais wa sudani kusini kwa mechi ya kwanza.​
Nampendekeza mwamuzi aalikwe waziri mkuu wa kenya Ndugu Raila Odinga! Lines men watoke misri na south africa
Nisiwachoshe! Wadau, naomba mnipangie line up itakuwaje kwa timu zote mbili. Faizafox, @newyork w.malecela, zomba, malaria sugu, ritz, Mwita25, tafahali pangeni line up ya timu ya wabunge wa chama tawala (ccm), nani atakuwa coach, nani watakuwa sub. Chadema, Cuf, Nccr, Tlp tafadhali msianze kugombania nani apange timu, itifaki izingatiwe, pangeni timu hapa, Tajeni coach wenu, tajeni substute. Nami nitautangaza mtanange huo.
N.B. nimeweka bandiko hili kwenye siasa kwasababu ya wabunge (wanasiasa)
Nawasilisha.

Wakuu, bunge letu limekwisha ahirishwa, naamini wengi tunali miss sana, Makinda, Ndugai ooh tunawamiss kiukweli. Tunaimiss miongozo na taarifa, tunamiss naunga mkono mia kwa mia

Pamoja na hivyo, matatizo ya watanzania hayaonyeshi dalili za kupungua, ene wei

Kwakuwa tuna upungufu wa madawati kwenye shule zetu karibu zote Tanzania, napendekeza iandaliwe mechi ya kirafiki ya mpira wa miguu kati ya wabunge wa chama tawala na wabunge wa vyama chagizo (upinzani),

Fedha zitakazokusanywa tununue madawati kwa shule zetu na dawa kwa zahanati vijijini.

Tuwe na mechi mbili kwa mwaka, zipigwe uwanja wa taifa, ziratibiwe na TFF kwa kushirikiana na ofisi ya bunge. Yafuatayo ni baadhi ya masharti kwa mashabiki;

Hairuhusiwi kuvaa sare za chama chochote cha siasa.

Hairuhusiwi kuvaa nguo yenye rangi zinazoweza kujipambanua na rangi za chama.

Ikumbukwe kuwa wanaocheza ni waheshimiwa, hairuhusiwi kushangilia kwa staili ya kuzomea.

Hairuhusiwi kupeperusha bendera ya chama chochote kwani hiyo si sehemu ya kampeni.

Nia ni kuwaweka watanzania pamoja wajisikie kuwa ni wamoja na wana amani, na wabunge wao hawana uhasama tofauti na wanavyoonekana bungeni wakitetea au kujenga hoja.

Mgeni rasmi awe rais wa sudani kusini kwa mechi ya kwanza.

Nampendekeza mwamuzi aalikwe waziri mkuu wa kenya Ndugu Raila Odinga! Lines men watoke misri na south africa

Nisiwachoshe! Wadau, naomba mnipangie line up itakuwaje kwa timu zote mbili. Faizafox, @newyork w.malecela, zomba, malaria sugu, ritz, Mwita25, tafahali pangeni line up ya timu ya wabunge wa chama tawala (ccm), nani atakuwa coach, nani watakuwa sub. Chadema, Cuf, Nccr, Tlp tafadhali msianze kugombania nani apange timu, itifaki izingatiwe, pangeni timu hapa, Tajeni coach wenu, tajeni substute. Nami nitautangaza mtanange huo.

N.B. nimeweka bandiko hili kwenye siasa kwasababu ya wabunge (wanasiasa)

Nawasilisha.

tuna madhahabu kibao!

Kwanza naanza kwa taarifa
Naomba msiwajumuishe wabunge wa CUF kwenye orodha ya wachezaji wa timu ya vyama vya upinzani. Hawa naona inabidi watengeneze timu yao hivyo kuwe na timu tatu,yaani timu ya chama tawala, timu ya vyama vya upinzani na timu ya CUF + TLP + Shibuda.

Pili naomba mwongozo wako
Inaruhusiwa mechi ichezwe kwa kila timu ichanganye wachezaji wa jinsia zote kuunda timu moja?

Baada ya kusema hayo naomba nianze kuchangia kama hivi
Uwanja wa mechi hii utumike kama ifuatavyo. Kwa kuwa tanania ni jamuhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar basi mechi ya kwanza ichezwe kwenye ardhi ya tanganyika na ya pili ichezwe kwenye ardhi ya zanzibar.Refa wa huu mchezo naomba awe msajili wa vyama vya siasa Mh. John Tendwa, na washika vibendera wawe mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya Tanzania na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Zanzibar. Kamisaa hapa awe muheshimiwa Jaji mkuu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania.Hii mechi isisimamiwe na TFF kwa sababu hao jamaa wapo kimaslahi zaidi hivyo wanaweza wakaleta ufisadi wao kwenye wazo hili zuri sana.Hapa huu mpambano usimamiwe na jumuiya ya ulaya na Marekani.Halafu mgeni rasmi ingekuwa safi sana kama angekuwepo bwana Ocampo yule mwendesha mashtaka wa mahakama ya uhalifu wa kivita kule The hague.

Naomba kuunga mkono hoja asilimia 100. Nikirudi tena nitapanga list ya wachezaji na makocha wao.

watu tupo busy na kinacho endelekea Igunga, kata zinazo rudia uchaguzi, meli iliyo zama. naomba hii post tuipate jukwaa la jokes asante

tuna madhahabu kibao!

ukirudia kusoma utakubali, nimesema nia si kupata fedha tu, bali kujenga umoja na mshikamano wa kitaifa, kupata burudani adimu, kujenga tabia ya kuvumiliana kati ya wabunge kwa wabunge ndani na nje ya bunge, kwa hamasa ya nje ya bunge, wafuasi, wakereketwa, wapenzi na wanachama wa vyama vyote nchini kujenga uelewa mpya kuwa siasa si uadui. naamini italisaidia taifa letu hatimaye ije siku mambo ya taifa yajadiliwe kwa msingi wa maendeleo ya taifa bila kujali hoja imetolewa na nani. taifa mbele na faida ya dhahabu itaonekana.

Vikosi viwe kama hivi
Timi ya chama tawala uwanja wake wa nyumbani uwe ni Zanzibar kwa kuwa kule ndiko kuna ile serikali ya pamoja.Na kocha mkuu wa timu hii awe Mh waziri mkuu Mizengo Pinda.Timu ya vyama vya upinzani uwanja wake wa nyumbani uwe Arusha shekh Amri Aeid ili kuwakumbuka waliopoteza maisha katika maandamano ya CDM kupinga uchaguzi wa meya wa jiji la Arusha.Hapa kocha wao awe Mh Freeman Mbowe.

Ndio kitu kizuri kwa kuleta uzalendo,bonge la idea,watu walio Serikalini ndio sehemu ya kuasiasi mwamko wa uzaledno kuondoa tofauti na ubabe wa kizamani wa kivyama,kuwa asiye mwana ccm huyo ni mamluki nchini.Ujenzi wa uzalendo unaanzia katika mambo kama haya.Kama ambavyo sasa kila jambo au mtu atakae simama upande wa jambo au kitu kuhusu Serikali iinayoongozwa na Kikwete basi huyo ni fisadi na mfuasi wa magamba.

Wazo zuri kama litazingatiwa, mimi naomba hii mechi isiwe ya wabunge tu tuangalie na watu wengine ambao wako kwenye chama husika kama wanaweza kuchangia kwa kucheza mechi kama hii, yaani mechi iwe ya vyama bila kujali wadhifa na Lineup ziwe hivi.

CCM
Kipa.... Spika Makinda
2. Ridhiwan Kikwete
3. Miraji Jk
4. Yusuf Makamba
5. Mwezi wa January Makamba
6. Hussein Mwinyi
7. Ally Hassan Mwinyi
8. Edward Lowasa
9. Rostam AZIZI
10. Andrew Chenge
11. JK mwenyewe

Subs.
Steven Wasira
Ngeleja
Jairo
Liyumba

Kocha watamwazima Lyatonga

Upande wa CDM

Kipa... Kamanda Halima Mdee
2. Kamanda S. Nyerere
3. Kamanda Wenje
4. Kamanda Godbless Lema
5. Zitto Kabwa Kamanda
6. Kamanda Samson Mwigamba
7. Kamanda Tundu Lissu
8. Kamanda John Mnyika
9. Kamanda Joseph Mbilinyi (sugu)
10. Kamanda Mkuu Freeman Mbowe
11. Kamanda John Mrema

Subs.
Kamanda Josephat Isango
Kamanda Nassari
Kamanda Highness Kiwia
Kamanda Mbunge wa Ukerewe

Kocha Kamanda Slaa

Hao kina Hamad Rashid wataunda ya kwao

watu tupo busy na kinacho endelekea Igunga, kata zinazo rudia uchaguzi, meli iliyo zama. naomba hii post tuipate jukwaa la jokes asante

ukitohoa neno busy, kwa bahati mbaya ukajikuta wewe ni md. doctor, kwa taabu na mahangaiko ya wagonjwa basi hata kula hutaenda hatimaye utakufa kwa njaa. sipuuzi hata kidogo majukumu yanayoikabili jamii ya watanzania.

Ndio kitu kizuri kwa kuleta uzalendo,bonge la idea,watu walio Serikalini ndio sehemu ya kuasiasi mwamko wa uzaledno kuondoa tofauti na ubabe wa kizamani wa kivyama,kuwa asiye mwana ccm huyo ni mamluki nchini.Ujenzi wa uzalendo unaanzia katika mambo kama haya.Kama ambavyo sasa kila jambo au mtu atakae simama upande wa jambo au kitu kuhusu Serikali iinayoongozwa na Kikwete basi huyo ni fisadi na mfuasi wa magamba.

ufafanuzi wako ni mzuri sana, natumia cellfone kitufe cha thanks hakipo. maximum respect DSN

Vikosi viwe kama hivi

Timi ya chama tawala uwanja wake wa nyumbani uwe ni Zanzibar kwa kuwa kule ndiko kuna ile serikali ya pamoja.Na kocha mkuu wa timu hii awe Mh waziri mkuu Mizengo Pinda.Timu ya vyama vya upinzani uwanja wake wa nyumbani uwe Arusha shekh Amri Aeid ili kuwakumbuka waliopoteza maisha katika maandamano ya CDM kupinga uchaguzi wa meya wa jiji la Arusha.Hapa kocha wao awe Mh Freeman Mbowe.

great! wazo linaweza kuboreshwa, i.e. mbowe na pinda wanaweza kuwa makocha wachezaji, viwanja vya nyumbani kwa chama ni wazo la maana, ingawa linaweza kuathiri mapato kidogo lakini likawaunganisha vizuri wananchi. maximum respect Kiroba!!!

mi ningependa kama huu mtanange ungefanyika kwenye moja ya viwanja ambavyo vipo uswazi wanakochezaga wale madogo wanaotoroka skonga....hahahaaaaaaaaaaaaaa....halaf mpira uwe wa makaratasi..unaonaje hiyo?..

Mkuu Noti mpya, nitaijadili baadae kidogo list yako, lakini mpaka sasa ninavyoona ccm watakuwa na bench la ufundi linalotisha sana, manake kuna prof. maji marefu, kama wakiamua kumtumia, au atakabidhiwa wing ya kushoto kwa fullbeki 3 lema gbl.

Back
Top Bottom